Le Mutuz (W. Malecela) Vs Alberto Msando: Hii ni vita ya kupigania haki za wasanii au kopo la Coca?

Le Mutuz (W. Malecela) Vs Alberto Msando: Hii ni vita ya kupigania haki za wasanii au kopo la Coca?

Status
Not open for further replies.
So, hawa maselebu wawe compensated na global publishers kwa kunufaika na habari zao? Sidhani una maana hiyo.

Pili hivi hao maselebu hawanufaiki kwa lolote kwa Global Publishers kuwaandika magazetini?
Shigongo anawakatia laki 2-3 kifuta machozi akiwaandika kwenye skendo
 
Kuna mtu kasema hapo juu kuwa information is power.

Kuna watu wana-argue humu bila hata kuijua issue nzima ya Share a Coke.

Hata Kenya wameanzisha hiyo Share a Coke. Je, wasanii wa huko wanalipwa?

‘Share A Coke' and enjoy memorable moments | Capital Business

Hivi kwanini waTZ tunakua wajinga kiasi hiki?
Yan kwenye kila kitu tunaangalia nchi nyngne kama na wao wanafanya hivohivo basi na sisi tunaona kipo sawa hata kama ni ujinga?

Kwahyo kama wasanii wa kenya wamekubali kunyonywa na waTZ nao wakubali kunyonywa?
 
Hivi kwanini waTZ tunakua wajinga kiasi hiki?

Wajinga ni wale wanaoishi in closed doors.

Yan kwenye kila kitu tunaangalia nchi nyngne kama na wao wanafanya hivohivo basi na sisi tunaona kipo sawa hata kama ni ujinga?

Ungekuwa umeenda angalao shule at least ungejua maana ya comparative analysis.

Kwahyo kama wasanii wa kenya wamekubali kunyonywa

Nani kasema wasanii wa Kenya wamekubali kunyonywa?

...na waTZ nao wakubali kunyonywa?

Lini walishakataa kunyonywa anayway?

Kama wanaona wanavyonywa waache kupiga ramli.

Waende mahakamani kama alivyofanya Rihanna wavute mkwanja: BBC News - Pop star Rihanna wins image battle


Hivi na hapa walipata mchongo kutoka CCM?
wasanii.jpg
 
image.jpg

Le baharia akila bata na vijana wenzake, lol jaman huyu jamaa ni hazina ya taifa, atunzwe
 
Nimegundua kwenye hili sakata Le Mutuz ni mtu mnafiki na msaliti mkubwa kwa wenzake wanaopigania haki zao za kutotaka kunyonywa
 
Kaz kwenu mnaotaka kuonekana kwenye makopo ya coke
 

Attachments

  • 1422189879767.jpg
    1422189879767.jpg
    41.6 KB · Views: 168
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom