babukijana
JF-Expert Member
- Jul 21, 2009
- 14,478
- 18,341
Shigongo anawakatia laki 2-3 kifuta machozi akiwaandika kwenye skendoSo, hawa maselebu wawe compensated na global publishers kwa kunufaika na habari zao? Sidhani una maana hiyo.
Pili hivi hao maselebu hawanufaiki kwa lolote kwa Global Publishers kuwaandika magazetini?
