Alishasema hilo suala humu nadhani ni jibu tosha kwa mleta mada otherwise kama ana lingine.Aisee mkuu mbona jamaa keshasemaga kitambo sana hapa jf kuwa umiliki wake ni 0.01% ya capital!
Hahaha...nakumbuka na watu wakampigia hesabu na kubaini kwamba kachangia Tshs 1,300,000/= katika uwekezaji huo.Aisee mkuu mbona jamaa keshasemaga kitambo sana hapa jf kuwa umiliki wake ni 0.01% ya capital!
this family they're very lies
Soma tena sentensi
Mkuu hizi ndio kick ambazo le mutuz anazipenda.. ha ha haHivi watu hamwezi kukaa mkafanya yenu mpaka mhangaike na Le Mutuz.
Hata akionyesha huo ushahidi, bado watu watakuja kusema amepewa tu bila kuchangia chochote.
Au kuna uwezekano watu wanatumwa na mtalaka wake kumchafua jamaa daily
Mkuu hizi ndio kick ambazo le mutuz anazipenda.. ha ha ha
Wewe nisuse tuuBasi sawa mkuu! Nogja tuache jamaa waendelee kumpa kiki.
Wewe nisuse tuu