Le Mutuz: Wiki iliyopita nilikutana na shetani uso kwa uso, alitaka nijinyonge

Aibu ya utupu wake kua hewani haifutwi na huo mkataba na hasa kwa mtu mzima kama babu yetu
 
hiyo hela ndio itaficha aibu ya dhakari yake kuonekana na wajukuu zake??
 
Hiyo kampuni naijua, inahusika na usindikaji wa bamia....
 
Kwa kile kinukta aisee kiki ni lazima. Tangazo la kwanza nasikia ataitangaza bidhaa inayofanana na Lekinuktazzz kimuonekano. Ha Ha Ha
 
Tumekusoma Le kiba100!
 
Le Kokobanga,mbona hivyo Mzee...,tulia usijidhalilishe!
 
Jaman hemu nitumien na mm hio vdeo au picha inayomuomesha lemutuz na kibamia
 
Mzee wetu Malechela anakondea mambo mengi..kazaa lakini motto sio riziki masikini
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…