Le Mutuz: Wiki iliyopita nilikutana na shetani uso kwa uso, alitaka nijinyonge

Le Mutuz: Wiki iliyopita nilikutana na shetani uso kwa uso, alitaka nijinyonge

Aibu ya utupu wake kua hewani haifutwi na huo mkataba na hasa kwa mtu mzima kama babu yetu
 
hiyo hela ndio itaficha aibu ya dhakari yake kuonekana na wajukuu zake??
 
Kwa kile kinukta aisee kiki ni lazima. Tangazo la kwanza nasikia ataitangaza bidhaa inayofanana na Lekinuktazzz kimuonekano. Ha Ha Ha
 
  • lemutuz_superbrandtzMKATABA MPYA MIAKA 2 KUWA BALOZI WA CONTEMPORARY PROPERTIES COMPANY LIMITED.....After the Beach back to Serena Hotel a Business meeting with Team Contemporary Properties Limited Company ..... Miss. Alma the Sales Manager & The Managing Director Mr. Juneid Othman www.juneidothman.com ....hahahaha thak U guys yaani huu Mkataba mpya ni just at the right time walisema eti WANAUA my Brand ..hahahaha....Mungu Wangu ni Mkali sana hahahaha this is so Sweet ...MALIPO YA KWANZA YA HUU MKATABA NITAYATOA YOTE KWA WATOTO WA YATIMA .....hahaha Last Week nimekutana na Shetani Uso kwa Uso na leo nimeanza tena kukutana na Mungu Uso kwa Uso ....guys siku zote tumuamini Mungu tutakuwa kama mimi hapa NA THE LAST LAUGH! ....maana Shetani alitaka nijinyonge hahahaha guys MUNGU NI MWEMA SANA ALL THE TIMES ....na GUYS UKIMSHINDA SHETANI USIOGOPE KUSEMA KWA NGUVU SAY IT LOUDLY AND CLEAR KILA MTU ASIKIE KUWA SHETANI NI MUONGO HANA LOLOTE ALISHINDWA MBINGUNI HAWEZI KUSHINDA HAPA DUNIANI ...AMEN!...... hahababah....I loove it! - le Mutuz
Tumekusoma Le kiba100!
 
Usishangae Kokobanga Le Mutuz ku sign ubalozi wa vibamia kwa miaka miwili
be4f4ed7398ed9ab015f54e5f49045b9.jpg
 
Jaman hemu nitumien na mm hio vdeo au picha inayomuomesha lemutuz na kibamia
 
Mzee wetu Malechela anakondea mambo mengi..kazaa lakini motto sio riziki masikini
 
Back
Top Bottom