Le mutuz yuko wapi?

Le mutuz yuko wapi?

Hawa ni watu wanaopata u-celebrity na utajiri kwa kiki. Mwisho wake lazima wanafulia na umaarufu nao kwishnei. Watu hawajui unapokuwa na nafasi ya kuwa maarufu ni muhimu kujiwekezea assets kubwa na za kutosha. Hata Mondi Platnumz naona yuko matatani ni kama umaarufu unaelekea kwisha hata videos zake za hivi karibuni ni za kuchoka mnoo. Na ile ya Wasafi Bet wala haiendi popote. Au Konde boy, hata nyumba yake nzuri binafsi hana. Japo anadai anazo 3 kali. Umaarufu na utajiri unaopatikana PASIPO MSINGI MZURI lazima unaisha tu muda si muda.
Pamoja sana Mr Nice.
 
Tulikuna naye kwa fundi Bajaj akisimamia matengenezo ya babaji zake mbili, mmoja dereva hajafikisha hesabu ya wiki akamzingua
Mim pia dereva bajaji yangu alisepa Kwan inaharibika mara kwa mara amesema haiwezi
Lemutuz aliniahidi atantafutia dereva safi
 
This ageing man is too old to be online..tena on JF..much respect [emoji120] kwake mana anajitajid sana kuwa active kwenye mitandao..ngoja apate mapumziko kdgo..akiwa okay tutamsoma online tu
 
Back
Top Bottom