Hawa ni watu wanaopata u-celebrity na utajiri kwa kiki. Mwisho wake lazima wanafulia na umaarufu nao kwishnei. Watu hawajui unapokuwa na nafasi ya kuwa maarufu ni muhimu kujiwekezea assets kubwa na za kutosha. Hata Mondi Platnumz naona yuko matatani ni kama umaarufu unaelekea kwisha hata videos zake za hivi karibuni ni za kuchoka mnoo. Na ile ya Wasafi Bet wala haiendi popote. Au Konde boy, hata nyumba yake nzuri binafsi hana. Japo anadai anazo 3 kali. Umaarufu na utajiri unaopatikana PASIPO MSINGI MZURI lazima unaisha tu muda si muda.