Leaked photo of heaven

Mungu fundi sana. Mawazo ya binadamu yako limited kwa kile tu ambacho ameona na kuexperience hata heaven anaiwaza ikiwa na majengo. Hata akiwa anasaka uhai anasaka maji sijui kwanini huwa hatuwazi kuwa kunaweza kuwepo uhai katika form nyingine ambayo wala maji si kitu essential kwa uhai huo au aliens hao.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…