Stephen Ngalya Chelu
JF-Expert Member
- Oct 31, 2017
- 8,252
- 18,335
karibu sana bibieNitakaa katikati ya Dr. Mwamposa na Dr. Kimaro nimewai kabisa.
Asante sanakaribu sana bibie
ZumaridiNani kaipiga hio picha?
Kumbe nako kuna mijini na vijijiniNimemuonesha mfalme zumaridi hii picha amesema sio kweli... Hata mbinguni vijijini hapako hivyoo
Si ndio hapo sasaunambiwa kupita hapo ni sawa na ngamia kupenya kwenye tundu la sindano au umesahau ilo
DuhNimemuonesha mfalme zumaridi hii picha amesema sio kweli... Hata mbinguni vijijini hapako hivyoo
Hizi comment sasaJiwe kiongozi wa malaika amepewa chumba gani hapo?
DuhMito ya Pombe iko wapi sasa hapo maana naona Snow tu nje na kama ndio kulivyo Pombe itakuwa ni Baridiiiiiii.
And Mademu 72 ndio wanakuwa vyumbani humo?
Watu wapo motoni teh tehMbona hamna watu
Dada happy mambo ππMbona majengo ni mengi kuliko idadi ya wateule.?