The Happiness
JF-Expert Member
- Aug 21, 2018
- 6,989
- 45,411
Safi tu, u hali gani!?Dada happy mambo ๐๐
Sio watu, sema mabikra saba na nguvu za kiume za kuwafanya 100Mbona hamna watu
Safi dada naomba tamu ๐๐๐Safi tu, u hali gani!?
Halafu huyo malaika ana macho, rangi na nywele za kizungu ha ha ha.Hivi ile mbingu ya malaika akisimama katikati mbawa zake zinagusa kingo za mbingu ni ipi?
Tamu ipi kijana tulia hapo kwenye ufalme wa mileleSafi dada naomba tamu ๐๐๐
Nataka nitulie na wewe tu malaika๐๐๐Tamu ipi kijana tulia hapo kwenye ufalme wa milele
Imeleak kutokea wapi??
Si Tuliambiwa barabara za Dhahabu?mbona theluji tena?
Hiyo ni ice cream za maziwa bob jiongeze๐imebidi nicheke tu.. kumbe kuna snow nje baridi lake Waafrica tutaliweza kweli?
Kama Kabendera anasema alitaka kumnaniliu Makamu wake,sasa akipewa Geto lake Mbinguni si atataka kuwamaliza Malaika.Jiwe kiongozi wa malaika amepewa chumba gani hapo?
Aisee๐ ๐
Nani kaipiga hio picha?
Elon musk...Ko nani ameivujisha huko mbinguni?
Nani kaipiga hio picha?