Leap year Special Thread

Leap year Special Thread

Battor

JF-Expert Member
Joined
Mar 21, 2019
Posts
1,964
Reaction score
3,496
Kwa wote tunaotambua nguvu iliyojificha kwenye namba.

Uzi huru kutupia chochote unachoamini ni mafanikio kwako, usikate tamaa jibidishe kwani huu ndo mwaka wa neema kwa wanaojituma.

Pia usiache kumshukuru Mungu kwa kila hatua unayopitia.
A7EBC4C4-D704-4265-9B38-5811835DEE2F.jpeg
 
Mwaka jana nilimuahidi mfanyakazi wangu wa nyumbani kuwa ntamjengea nyumba. Ni wa kiume, nilimnunulia kiwanja maeneo ya kiegea Morogoro na mwezi huu wa kwanza nimemkabidhi nyumba ya room 2 pamoja na bajaj ya kuanzia maisha. Namshukuru Mola kwa kuwa niliishi nae kama ndugu na alikuwa muaminifu sana. Lakini pia nilimsomesha veta mambo ya umeme! Hiyo ndio sadaka yangu, sadaqah jariya.
 
Mfano mwema sana, hiyo ni sadaka njema sana na ukazidishiwe zaidi na zaidi.

Furaha yake haitoishia kwake tu bali kwa familia yake pia na baraka watazozipata kupitia sadaka yako ni wengi zaidi ya unavyodhania mkuu.
 
Back
Top Bottom