Learned Sister, hili vazi ni sawa kweli?

Jidu La Mabambasi

JF-Expert Member
Joined
Oct 20, 2014
Posts
16,419
Reaction score
26,594

Huwa nawaheshimu sana wanasheria kwa mavazi yao, hasa kwenye official functions.

Huyu Mwanasheria Msomi Learned Sister , Adv. Winnie Kawandakamu kavalia jeans kwenye official function.
TLS na wanasheria mliomo humu mtujuze, huyu dada hajakiuka utaratibu wa mavazi kweli?

Ila niseme ukweli tu, jeans imemkaa barabara!

(Rf: guardian, june 10)
 
Jeans haina tatizo hiyo au Wakili msomi Pascal Mayalla unasemaje ?
 
It wasn't fair kwa kweri!Afutaroo,she iz entitled as a vweri lenid ofsa of ze koti.Hakupaswa kuvwaa hivyo.Dress kodi mbovu inifronti of ze other lenid brothers!Asante!
 
Huyu Mwanasheria Msomi Learned Sister , Adv. Winnie Kawandakamu kavalia jeans kwenye official function.
TLS na wanasheria mliomo humu mtujuze, huyu dada hajakiuka utaratibu wa mavazi kweli?

Huenda alishtukizwa dakika za mwisho...kapandishwa jukwaani kukabidhi tunzo kwa niaba
 
Nilikuwa na Dem wangu mmoja hiv anapenda mabwana wanaovaa (L)ABA KALI,MKANDA MKALIIII,SOKSI KALIII,BOKSA KALII, SAA KALI lakini hela anakuja kuniomba mm
 
Kila mmoja anapendeza- T shirt n jeans
Hakuna inayomchukiza- T shirt n jeans
Sitoweza kuiacha, inanitoa chicha nami nawakilishaa 👖👕
 
Kwa hiyo sehemu aliyokuwa hakustahili kuvaa hivyo, angevaa suti zile wanazovaaga ofisini.
 
Pimbi wewe kwani hapo ni mahakamani ! Dume zima linawaonea wivu pis kali wakipendeza!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…