goodhearted
JF-Expert Member
- Feb 15, 2015
- 978
- 1,237
Ndio tulipofika hapo. Mwanamke kuvaa nusu uchi ni kupendeza. Yani nguo zinachora maeneo nyeti ya mwili ndio kupendeza kwenyewe huko. Na nyie utakuta mnalalamika maadili yamepunguaPimbi wewe kwani hapo ni mahakamani ! Dume zima linawaonea wivu pis kali wakipendeza!