Lease and Finance Act 2008

Lease and Finance Act 2008

Jamani mwenye sheria hizi atuwekee hapa tafadhali

Mkuu unataka Financial Leasing Act 2008 au The Morgage Finance Act 2008 au
Finance Act 2008 pamoja na Financial Laws Misc amendments 2008? Hizo mbili za kwanza sijaziona ila kama unataka mbili za mwisho kamata copy! Naona imechukua muda mrefu sana kuapload but here were go!
 
Attachments

Naamini amekusudia kusema 'Financial Leasing Act 2008'. Hii nimeipata kule kwenye website ya bunge.
 
shukuraniiii mkuuu..

tatizo ni utekelezaji wa hizi sheriaa....hivi umbumbu wetu wananchi ndo kikwazo au????

naomba kueleweshwaa.
 
Nashukuru wakuu mmefanya kazi nzuri. Ngoja nipate muda nisome hivi vitu.
 
Back
Top Bottom