Leather Bags Made in Tanzania (Ngozi halisi)

Ni Mfanyabiashara Mgumu Hata Hivi Wateja Wamekwambia Weka:-
Bei
Mawasiliano
Pictures Ya Bidhaa
Eneo Unalopatikana


Sasa Bado Unamwambia Mteja Aende FB Wakati Tangazo Umelileta JF
Badilika Acha Mazoea
 
Shukrani Sana, Ubarikiwe
 
Nitoe maoni au nitaonekana hater?

Hiyo brand name ina jina ambiguous kwa nionavyo. Fay Fashion ingetosha ila kuongezea Tanzania ni kama sio sahihi. Hakuna Adidas Germany, Nike USA wala Kappa Italy.

Ningekuwa mimi hata hilo neno Fashion ningeliondoa libaki kwenye usajili ila sio logo. Kama Louis Vuitton, Bottega Veneta, et al
 
Huyu nahisi amekuja kukimbiza wateja. Siyo kuvutia wateja .mjeuri na mwenye kibri.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…