Leather Bags Made in Tanzania (Ngozi halisi)

Leather Bags Made in Tanzania (Ngozi halisi)

Hapo nimekuelewa mkuu, mwanzo nilikua sijakuelewa.

fayfashiontz.kyte.site au Application yetu iliopo Google play store Kwa Jina la Fay Fashion Tanzania, ina bei, mawasiliano na bidhaa zetu ktk categories vizuri kurahisisha kuperuzi.

Pia Instagram na Facebook.
Ni Mfanyabiashara Mgumu Hata Hivi Wateja Wamekwambia Weka:-
Bei
Mawasiliano
Pictures Ya Bidhaa
Eneo Unalopatikana


Sasa Bado Unamwambia Mteja Aende FB Wakati Tangazo Umelileta JF
Badilika Acha Mazoea
 
Nadhani hapa JF watu wanaghairi kuweka bei kwa sababu kuna watu kazi yao ni kukatisha watu tamaa tu. Super_Grego hongeni kwa ujasiriamali mnaoufanya. Naombea mfanikiwe mpate soko hata nje ya nchi. Tanzania tuna ngozi nyingi lakini tunakimbilia kuziuza nje badala ya kutengeneza bidhaa zetu. Nikiona mtanzania anajitahidi namna hii huwa naona furaha sana.
Shukrani Sana, Ubarikiwe
 
Nitoe maoni au nitaonekana hater?

Hiyo brand name ina jina ambiguous kwa nionavyo. Fay Fashion ingetosha ila kuongezea Tanzania ni kama sio sahihi. Hakuna Adidas Germany, Nike USA wala Kappa Italy.

Ningekuwa mimi hata hilo neno Fashion ningeliondoa libaki kwenye usajili ila sio logo. Kama Louis Vuitton, Bottega Veneta, et al
 
Back
Top Bottom