Lebanon yashushiwa mabomu na IDF

Lebanon yashushiwa mabomu na IDF

Sawa Israel kaipiga Hezbullah kwa njia ya magazeti ya Israel 😄
 
Sasa kuna kipi cha ajabu mbona Hezbollah ndiyo walishambulia miji ya kaskazini mwa Israel kama onyo na kuifanya Israel raia kuishi kama digidigi kwa tahadhari ya juu kabisa.

Hakuna cha propaganda za Iron dome wala nini wazee wanapepeza vyuma angani hadi vinagonga Israel.

Ukiisikiliza Israel kwenye vyombo vya habari vya kishoga utadhani ni taifa lenye uwezo mkubwa kumbe ni mbeleko za bwana wake US ndiyo humbeba.
Unaandika kikada sana. Hilo la Israeli kuwa na uwezo mkubwa kijeshi wala siyo siri. Namkubali kada mwenzako Alwaz, yeye anaelewa sana uwezo wa Israeli. Kwa mfano: silaha alizonazo yahudi kama zingekuwa mikononi mwa hamas au hezbollah au Iran, nakuhakikishi kuwa wangesha iangamiza Israeli kwa nuke. Lakini yahudi hana wasiwasi, anajua tu kuwa madogo wanamchokoza na hakuna haja ya kuua inzi kwa risasi.
 
Sasa kuna kipi cha ajabu mbona Hezbollah ndiyo walishambulia miji ya kaskazini mwa Israel kama onyo na kuifanya Israel raia kuishi kama digidigi kwa tahadhari ya juu kabisa.

Hakuna cha propaganda za Iron dome wala nini wazee wanapepeza vyuma angani hadi vinagonga Israel.

Ukiisikiliza Israel kwenye vyombo vya habari vya kishoga utadhani ni taifa lenye uwezo mkubwa kumbe ni mbeleko za bwana wake US ndiyo humbeba.
Ndoto ya kuifuta Israel kwenye ramani ya dunia inazidi kutoweka na ndio sasa wanazidi kujikita zaidi na dhana ya kuifuta Israel kwenye ramani ya dunia itaendelea kubaki ndoto tu milele na milele.
 
Jipe moyo tuu na mngekuwa na uwezo hakuna myahudi angekuwa anaishi Leo, acha mchapwe tuu, wapenda amani tuna support Israel
Na upo sahihu ningekua na uwezo wazayuni wote ningewatia kwenye acid mauaji hayo

Tuchapwe na nani ewe mzayuni wa mexcen Melo 😀
 
Back
Top Bottom