Robidinyo
JF-Expert Member
- Feb 20, 2016
- 4,043
- 8,686
Meneja wa @harmonize_tz #Beauty Mmari a.k.a @mjerumani_255 amtambulisha msanii wa kwanza aliyemwaga wino kusimamiwa na lebo ya Konde Music WorldWide
Kupitia ukurasa wa Instagram meneja huyo wa Harmonize amemtaja @ibraah_tz kama msanii mpya chini ya lebo hiyo
Kupitia ukurasa wa Instagram meneja huyo wa Harmonize amemtaja @ibraah_tz kama msanii mpya chini ya lebo hiyo