playboy babu
JF-Expert Member
- Nov 12, 2015
- 2,648
- 1,566
Acha kuweweseka.Kwanza kabisa kamtambulisha kwenye kipindi kibaya kwasasa wanaokiki ni zuchu na malalamiko ya viewers basi
Sent using Jamii Forums mobile app
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Acha kuweweseka.Kwanza kabisa kamtambulisha kwenye kipindi kibaya kwasasa wanaokiki ni zuchu na malalamiko ya viewers basi
Umeongea utumbo na kimihemko, Unajua wale Vijana Wa King Music Wamekaa mda gani mpaka kuja kutambulishwa? Tomy Fleva mpaka leo hajatambulishwa rasmi yupo pale king music kwa mda sasa na uwezo wake unajulikanaWakati wasanii wa WCB wanaandaliwa zaidi kabla ya kusainiwa ili kujiridhisha,
Wao Kondegang kisa tu ili wapambane na wasafi basi nao wanatangaza kumsaini msanii hata kabla ya kuandaliwa.
Hapo ndipo wanapopigwa bao wasanii wengine wa tz wenye vilebo uchwara vya kutafutia sifa duniani,
Lebo ni kampuni kubwa inayohitaji u serious mkubwa sio kukurupuka Kama wanavyofanya Kondegang na kingmusic.
Zuchu kasota 4 year's brother?!!
Hanstone na yeye msoto unaendelea hizo ni za chini ya kapeti kutoka kwa madetective wa mjini,ila wao kama wcb wasafi hawajamtangaza officially
Maana wanasubiri apikwe aive ajue mziki biashara na jinsi ya kuendana na Lebo,atengeneze songs,
ndipo aingie mkataba,kutambulishwa na kuanza kuachia mikwaju mfululizo kutoka kwenye stock yake.
Kondegang,kingmusic na Lebo zingine tz,ziige utaratibu huo kutoka wcb wasafi,sijui wanaharaka gani hawa watu.
Sent using Jamii Forums mobile app
Mwambie Harmonize atafute mtu wa kumwandikia caption za instagram!
Sent using Jamii Forums mobile app
Ashampata muda tuMoja kati ya zile sajili bora kabisa... akimpata na Mario atakuwa kamaliza kabisaa
wewe umejuaje hajafanyiwa upembuzi?Wakati wasanii wa WCB wanaandaliwa zaidi kabla ya kusainiwa ili kujiridhisha,
Wao Kondegang kisa tu ili wapambane na wasafi basi nao wanatangaza kumsaini msanii hata kabla ya kuandaliwa.
Hapo ndipo wanapopigwa bao wasanii wengine wa tz wenye vilebo uchwara vya kutafutia sifa duniani,
Lebo ni kampuni kubwa inayohitaji u serious mkubwa sio kukurupuka Kama wanavyofanya Kondegang na kingmusic.
Zuchu kasota 4 year's brother?!!
Hanstone na yeye msoto unaendelea hizo ni za chini ya kapeti kutoka kwa madetective wa mjini,ila wao kama wcb wasafi hawajamtangaza officially
Maana wanasubiri apikwe aive ajue mziki biashara na jinsi ya kuendana na Lebo,atengeneze songs,
ndipo aingie mkataba,kutambulishwa na kuanza kuachia mikwaju mfululizo kutoka kwenye stock yake.
Kondegang,kingmusic na Lebo zingine tz,ziige utaratibu huo kutoka wcb wasafi,sijui wanaharaka gani hawa watu.
Sent using Jamii Forums mobile app
Wakati wasanii wa WCB wanaandaliwa zaidi kabla ya kusainiwa ili kujiridhisha,

Acha uongo we bata mzinga,usidanganye watu bure,We unajua akina cheed wamekaa miaka mingapi kings?..au unaropoka na ww uonekane upo?..apart from that mipango yyte iwe ya binafsi au kitaasisi ipo ya muda mrefu na mfupi, na kukaa muda mrefu bila kutoa ngoma inategemea na kipaji chako pia Asa kama mgumu unategemea utatoka haraka?..afu hiyo strategy unayosema watu waige kwa WCB mbona haijawasaidia LAVALAVA na QUEEN DARLIN maana hata baadhi ya mashabiki wa WCB hawawaelewi..
Sent using Jamii Forums mobile app
Kwaio unamfananisha lava lava na vile vibwengo vya alikiba vile?Umeongea utumbo na kimihemko, Unajua wale Vijana Wa King Music Wamekaa mda gani mpaka kuja kutambulishwa? Tomy Fleva mpaka leo hajatambulishwa rasmi yupo pale king music kwa mda sasa na uwezo wake unajulikana
Usisaha Kua Lavalava na Kwin darin wapo hapo wasafi na wamebuma kama msanii uwezo wake ni mdogo hata akae miaka 10 anajifua hawezi kua bora kama hana kipaji,. Acha Konde alete kijana tumsikie na tuone uwezo wake
Hao tayari ni wasanii ambao walikuwa kwenye mainstream na si underground kama kina mfano,ibraa tz.Hata wakimchukua Marioo? Atakaa 3 years?
Rich mavoko alikaa muda gani??
Wapigie detective wa mjini, wakupe jibu
Hilo liko wazi Kwani Kondegang ina umri gani?
Queen darling Hana mkataba wa kisheria na Wasafi wenye mkataba pale ni Rayvanny,mbosso na Lavalava.Acha uongo we bata mzinga,usidanganye watu bure,
So unaweza kumfananisha lavalava na uyo cheer?
Lavalava ni yuko next sana Kulinganisha na hao wa kingmusic ex kiba.
Huwezi kumzungumzia queen darlin yeye pale yupo kindugu zaidi na si kwamba ana mkataba serious Kama hao wengine.
son of almighty God.
Looh lakini nadhani ameimba kulingana na levo ya Lebo aliyopo.
Kondegang fan's hutawaona hapaNime jiskia kucheka baada ya kusikia ngoma ya uyu dogo mpya
Sent from my SM-A105G using Tapatalk
Queen darin n ka abdu kiba wa kingmuzc hawana utofauti.....ila lavalava kawapiga magape makubwa ao kina kituga mpe mshkaji respectUmeongea utumbo na kimihemko, Unajua wale Vijana Wa King Music Wamekaa mda gani mpaka kuja kutambulishwa? Tomy Fleva mpaka leo hajatambulishwa rasmi yupo pale king music kwa mda sasa na uwezo wake unajulikana
Usisaha Kua Lavalava na Kwin darin wapo hapo wasafi na wamebuma kama msanii uwezo wake ni mdogo hata akae miaka 10 anajifua hawezi kua bora kama hana kipaji,. Acha Konde alete kijana tumsikie na tuone uwezo wake
The spartacus the mnyama mkali tupe ile link ya group basi.Lavalava hamnamo msanii mle yule ni hasara, Abdu kiba Kipaji anacho alishato hit nyingi tu