Lebo ya Konde Music WorldWide yamtambulisha msanii wake wa kwanza

Umeongea utumbo na kimihemko, Unajua wale Vijana Wa King Music Wamekaa mda gani mpaka kuja kutambulishwa? Tomy Fleva mpaka leo hajatambulishwa rasmi yupo pale king music kwa mda sasa na uwezo wake unajulikana

Usisaha Kua Lavalava na Kwin darin wapo hapo wasafi na wamebuma kama msanii uwezo wake ni mdogo hata akae miaka 10 anajifua hawezi kua bora kama hana kipaji,. Acha Konde alete kijana tumsikie na tuone uwezo wake
 
wewe umejuaje hajafanyiwa upembuzi?

Sent using Jamii Forums mobile app
 

Hata wakimchukua Marioo? Atakaa 3 years?

Rich mavoko alikaa muda gani??


Wapigie detective wa mjini, wakupe jibu
 
Acha uongo we bata mzinga,usidanganye watu bure,
So unaweza kumfananisha lavalava na uyo cheer?
Lavalava ni yuko next sana Kulinganisha na hao wa kingmusic ex kiba.
Huwezi kumzungumzia queen darlin yeye pale yupo kindugu zaidi na si kwamba ana mkataba serious Kama hao wengine.

son of almighty God.
 
Kwaio unamfananisha lava lava na vile vibwengo vya alikiba vile?
Lavalava tayari yupo juu zaidi ya wale wa kingmusic,

Ametoa hits nyingi sana tu.
Hao vijana wa yooo wanahits zipi zaidi ya kuwataja tu humu.

Achaga u nzi wako uwe nyuki hata siku moja kabla hujafa.

son of almighty God.
 
Hata wakimchukua Marioo? Atakaa 3 years?

Rich mavoko alikaa muda gani??


Wapigie detective wa mjini, wakupe jibu
Hao tayari ni wasanii ambao walikuwa kwenye mainstream na si underground kama kina mfano,ibraa tz.

son of almighty God.
 
Queen darling Hana mkataba wa kisheria na Wasafi wenye mkataba pale ni Rayvanny,mbosso na Lavalava.
 
Nime jiskia kucheka baada ya kusikia ngoma ya uyu dogo mpya

Sent from my SM-A105G using Tapatalk
 
Nime jiskia kucheka baada ya kusikia ngoma ya uyu dogo mpya

Sent from my SM-A105G using Tapatalk
Kondegang fan's hutawaona hapa
Wamerudi kiwanja cha nyumbani kingmusic kwa muda usiojulikana

Hadi pale mambo watakapo tengamaa kule Kondegang

Ni hovyo kabisa huu wimbo.

son of almighty God.
 
Queen darin n ka abdu kiba wa kingmuzc hawana utofauti.....ila lavalava kawapiga magape makubwa ao kina kituga mpe mshkaji respect
 
Queen darin n ka abdu kiba wa kingmuzc hawana utofauti.....ila lavalava kawapiga magape makubwa ao kina kituga mpe mshkaji respect
Lavalava hamnamo msanii mle yule ni hasara, Abdu kiba Kipaji anacho alishato hit nyingi tu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…