Lebo ya WCB kuchoma gari moto!!?!

Inategemea walishazoeshwa kupewa sasa anayewapa anataka kuchoma gar sasa wanaopewaga misaada kutoka kwake kwann wasione kama jamaa anaharibu hela
 
Litatolewa tamko muda si mrefu,
Hivyo hizi habari zaweza kanushwa au wasifanye kweli wakaja kusema ilikuwa tu ni kuvutia watu!!
 
Wafanyao kufuru hizo hi hali masikini wanalalla njaa huwa ndo mwisho wao wakifanya hivo ndo itakuwa mwisho wao kisanii wengi wameporomoka kimaisha baada ya kufuru,hivo waache sifa za kijinga ni heri watoe burudani bure wazid kuwa maarufu
 
Kutamaki wataanza kumchoma moto mmtu mmoja mmoja ktk lebo yao
 
Salam k nahsi syo akil yako
 
Dah! Kama ni kweli!! Aisee watu wana akili dunia hii. Dhumuni lao iwe gumzo. Na nikipitia michango mingi kwenye huu uzi, naona tayari ni gumzo. Jamaa wameshafanikiwa hata kabla hawajachoma hilo gari lenyewe.
Kuna jamaa aliniambia, tofauti kubwa kati ya masikini na tajiri ni.....masikini hufikiria zaidi jinsi ya kutunza pesa, tajiri hufikiria zaidi jinsi ya kuitumia pesa.
 
Kwa wafuasi wa lucifa hata masonic hufanya hivo ule moto una maana yake Kwa imani zao sawa na kutembea juu ya moto
Inahitajika elimu na imani ya ziada sana
 
Wachome Range/X6 ndio nitajua wako serious lakini wakichoma hivi Vitoyo Baby walker nitaona hawapo serious.
 
Labda maagizo kutoka kwa mtaalam wao.
Ukishakuwa mtumwa wa shetani kila anachokuagiza unatenda.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…