Mbao za Mawe
JF-Expert Member
- May 11, 2015
- 23,372
- 54,943
Una umri gani?Mara ngap wametoa misaada kwa wasiojiweza? Au kila hela yao inatakiwa iende huko? Je mfano unajua pesa zake zinazid kuwa nying kwa mbinu gan? Je kama hiyo ni moja ya mbinu ya kuleta mara dufu ya ile aliyonunulia gari? Then zikishajiongeza ndio awape hao wasiojiweza? Biashara ni kichwani
Weeee,hapo umechemka!Jaribu kuchana noti ukionekana!Stunt za kawaida sana... watu wanachoma moto mpaka pesa...
Ukijibiwa nistueVipi gari ilichomwa huko?!
Stunt za kuvuta manyumbu kwenye party yao!Kama Kichwa cha habari kinavyojieleza Meneja wa Diamond Sallam Sk Mendez Akihojiwa na XXL Live pale mlimani City alisema wanapanga kupandisha gari Jukwaani na kulipiga kiberiti live watu wakishuhudia siku ya Party ya Wasafi …
Amedai stunt kama hizo zinasaidia kufanya mziki wetu uendelee kuwa gumzo Afrika na kukua zaidi…..
...Ngumu kumeza, hivi hii imekaaje? Kuna wasanii/lebo au kikundi chochote kilichowahi kufanya kufuru kama hiyo jukwaani humu duniani?
WCB Kiboko aisee!!!
Hahahahahahaaaaaaaaa..... wameanza na gari wataenda mpaka watu!!!
Waliposema kuchoma moto walimaanisha kuvuta bangi. Watu mna vichwa vigumu kuelewa