Lebo ya WCB kuchoma gari moto!!?!

Lebo ya WCB kuchoma gari moto!!?!

Wachome tu..siku moja ALIYEwapa hizo pesa atakapozichukua basi watazikumbuka zile walizozitia kibiriti...ndo ulevi ulivyo.
 
Mara ngap wametoa misaada kwa wasiojiweza? Au kila hela yao inatakiwa iende huko? Je mfano unajua pesa zake zinazid kuwa nying kwa mbinu gan? Je kama hiyo ni moja ya mbinu ya kuleta mara dufu ya ile aliyonunulia gari? Then zikishajiongeza ndio awape hao wasiojiweza? Biashara ni kichwani
Una umri gani?
 
Maisha ni tofauti yaani nimejaribu kuchana chana buku tu nimeshindwa
 
Kama Kichwa cha habari kinavyojieleza Meneja wa Diamond Sallam Sk Mendez Akihojiwa na XXL Live pale mlimani City alisema wanapanga kupandisha gari Jukwaani na kulipiga kiberiti live watu wakishuhudia siku ya Party ya Wasafi …

Amedai stunt kama hizo zinasaidia kufanya mziki wetu uendelee kuwa gumzo Afrika na kukua zaidi…..
...Ngumu kumeza, hivi hii imekaaje? Kuna wasanii/lebo au kikundi chochote kilichowahi kufanya kufuru kama hiyo jukwaani humu duniani?
WCB Kiboko aisee!!!
Stunt za kuvuta manyumbu kwenye party yao!
 
Waliposema kuchoma moto walimaanisha kuvuta bangi. Watu mna vichwa vigumu kuelewa
 
We unae ongea kuhusu kuchomwa gari moto,acha kuongea uongo Diamond hawezi kufanya ujinga huo hata siku moja,yule jamaa ni mtaftaji wa pesa anaijua pesa
 
Jay z na kanye west kwenye Otis wanaharibu garii
 
Tuliingia na suti ya pick Kama pinkpather [emoji81][emoji81][emoji81][emoji81][emoji81][emoji81][emoji81]
 
Back
Top Bottom