The Finest
JF-Expert Member
- Jul 14, 2010
- 21,605
- 6,092
Power of the $$$$$$$$$
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
The Master's Bathroom....
![]()
![]()
![]()
![]()
Makes my house look like a s.hit hole
Fundisho kwa Hasheem Thabeet. Kuwa NBA kunahitaji nidhamu ya hali ya juu na kufanya mazoezi zaidi ya kujituma. Sasa Thabeet yeye anaendaga bongo kuuza sura,kujionyesha raba gani kavaa,vipuri gani kaweka sikioni,demu gani katoka nae,wakati wenzake huku wanajifua kabla ya msimu mpya. No wonder Thabeet wanasema is the floppiest 2nd ranked draft ever!
Afadhali Mungu aliweka kifo!
Hebu Fikiria mtu anaishi hivi na mwingine anaishi kwenye nyumba ya nyasi, halafu wote waishi milele, ni haki kweli? Kifo ni Haki na Haki ni kifoManeno ya walio kata tamaa hao , yani una wish a death kwa mtu aliye fanikiwa tena kwa kwa jasho lake na talent hiyo hiyo aliyo pewa na huyo unaye msema aliweka Kifo .
Hebu Fikiria mtu anaishi hivi na mwingine anaishi kwenye nyumba ya nyasi, halafu wote waishi milele, ni haki kweli? Kifo ni Haki na Haki ni kifo
Sijui kibanda changu na mimi niite nyumba