LeBron James asaini mkataba mpya, kulipwa Bilioni 9 kwa mwezi

Kuna page ndio niliiyona hiyo speculation ya GSW kumtaka Giannis, sikujua Kama timu zilizo serious ni hizo zingine.

Ila Mimi naona Harden wangemwacha tu akatimka zake Houston, maana sioni Kama ana kitu kipya Cha kuwaongezea. Tumeona ameshindwa kufika fainali akiwa na CP3 tena walikuwa na chemistry nzuri tu, na sasa hivi Napo ameshindwa akiwa na swahiba wake Russell.

Hahaha... Kuhusu Kawhi sioni akileta ushindani wowote seriously kwa huu mpasuko uliopo kwenye timu yake.
View attachment 1642184

Ukikaribia kuwa free agent, speculations zinakuwa nyingi sana, hasa kwa mchezaji ambaye ana high profile kama Giannis.

GSW hana cap space ya kumchukua Giannis, labda aondoe baadhi ya players kama DRaymond Green kwa trades.

Klay ana max contract, na kwa injuries alizozipata sidhani kama atarudi kuwa Klay yule, hata 80% inaweza isifike, ukiweka na age yake.

Kwa hiyo ukimchukua Giannis huku umeondoa supporting cast ili kubalance vitabu unajikuta unabaki na Big 3 ambayo mmoja siyo that big compared na anacholipwa. Na bench linakuwa la kiwango cha chini.

Kwa hiyo binafsi naona Giannis asipobaki anaweza kwenda Heats, Raptors na labda Dallas. Au atengeneze suoerteam na kina KD.
 
Kwakweli pale kwa Klay GSW wahesabu maumivu tu, kukaa nje misimu miwili ni pigo kubwa Sana kwa career yake. Hapo lazima watafute shooter mwingine Kama mbadala wake na sio kitu rahisi.

Giannis akitaka mafanikio aende Dallas akatengeneze strong partnership na Luka Doncic maana yule dogo naye ana njaa Sana ya ubingwa Kama ni stats ameshazizoea.

Halafu naona Kama Brooklyn wameupania Sana msimu huu.
 
Ikitokea Giannis akaenda Dallas itakuwa noma mzee, watatisha. Huku Luka, huku KP, huku Greek Freak!

Nachompendea Mark Cuban ni vile anawapenda wachezaji wake na timu kwa ujumla. I think ni one of the best owners.

Brooklyn wanaweza kusumbua kwa East, issue ni kama KD atarudi kwenye ubora maana injuries za namna ile zinakuwa ni mara chache kurudi kwa 100%. Hoping pia kwamba Kyrie hatasumbua kwenye Leadership.
 
Huko nyuma nilikuwa najiuliza how come mtu analipwa kiasi kikubwa hivyo, kwa kweli ilikuwa haingii akilini mwangu, kwa hiyo maswali yalikuwa mengi sana, lakini toka nilipojua siri ya urembo kwanini wanalipwa hela nyingi namna hiyo nikaishia kuwaonea huruma tu.
 
Nafikiri GSW Kama watamkosa Harden Basi watamfuata Giannis, na Giannis lazima aondoke maana ana uchu sana wa kucheza fainali, na kule Milwaukee ameshaona hakuna cha ziada amejaribu kadri ya uwezo wake akaishia ECF tu.

Golden State wanataka kurudi msimu huu na kumkosa Klay kwa msimu mzima itawalazimu wasajili mchezaji wa Kariba ya ubingwa.

Lakini pamoja na hivyo kwa mtazamo wangu bado Lakers itabaki kuwa timu sumbufu na kuliko zote.

Kitendo cha hawa majaa kuwa mafree agents ndio kinaumiza hizi team zingine...James Harden nae angejiondokea tu pale rockets atafute chama lingine la fainali sababu pale anapambana sana ila wanaishia kutolewa daily...
 
Huko nyuma nilikuwa najiuliza how come mtu analipwa kiasi kikubwa hivyo, kwa kweli ilikuwa haingii akilini mwangu, kwa hiyo maswali yalikuwa mengi sana, lakini toka nilipojua siri ya urembo kwanini wanalipwa hela nyingi namna hiyo nikaishia kuwaonea huruma tu.

siri ya urembo ni nini ?
 
Kuna page ndio niliiyona hiyo speculation ya GSW kumtaka Giannis, sikujua Kama timu zilizo serious ni hizo zingine.

Ila Mimi naona Harden wangemwacha tu akatimka zake Houston, maana sioni Kama ana kitu kipya Cha kuwaongezea. Tumeona ameshindwa kufika fainali akiwa na CP3 tena walikuwa na chemistry nzuri tu, na sasa hivi Napo ameshindwa akiwa na swahiba wake Russell.

Hahaha... Kuhusu Kawhi sioni akileta ushindani wowote seriously kwa huu mpasuko uliopo kwenye timu yake.
View attachment 1642184

kusema Za ukweli me sielewa kwanini Leonard alienda Clippers me naona kama kaflop hivi
 
Kwakweli pale kwa Klay GSW wahesabu maumivu tu, kukaa nje misimu miwili ni pigo kubwa Sana kwa career yake. Hapo lazima watafute shooter mwingine Kama mbadala wake na sio kitu rahisi.
Watafute shooter mwingine?
Sio kwamba kila mchezaji kwenye high-ranked NBA team anauwezo wa kushoot... Kushoot si ndio kufunga goli kwenye kikapu? Sasa unataka kuniambia timu huwa inamtegemea mchezaji mmoja tu kwenye kufunga? Kweli?
 
Unamwelewa Klay Thompson?

Pengo lake kwenye shooting hakuna anayeweza kuliziba kwa sasa NBA!
 
Hivi kwann timu yangu Blazers hawasajili watu makini kama hawa? Kila siku sajili zao ni zakawaida tu huku wachezaji wazuri kama hao nakadhalika wakienda timu zingine, naomba ufafanuzi tafadhali huenda kuna sababu inafanya hayo yatokee.
Nafikiri GSW Kama watamkosa Harden Basi watamfuata Giannis, na Giannis lazima aondoke maana ana uchu sana wa kucheza fainali, na kule Milwaukee ameshaona hakuna cha ziada amejaribu kadri ya uwezo wake akaishia ECF tu.

Golden State wanataka kurudi msimu huu na kumkosa Klay kwa msimu mzima itawalazimu wasajili mchezaji wa Kariba ya ubingwa.

Lakini pamoja na hivyo kwa mtazamo wangu bado Lakers itabaki kuwa timu sumbufu na kuliko zote.
 
Kwann asije Blazers, Mbona wachezaji wazuri hawaendi Blazers nini shida mkuu?
Sina uhakika kama Giannis atataka kwenda GSW, wengi naona wanafikiria Dallas, Miami au Masai - Raptors.

Harden ana miaka 2 Houston ambayo iko guaranteed, alikuwa anaforce trade kwenda Nets, jamaa wamekataa. So, kwenda GSW napo sijui.

Halafu sina uhakika kama GSW wana cap ya kupata mchezaji top.

Naona unamsahau kabisa Kawhi kwenye upinzani.
 
Kwahiyo siri ya urembo ni ipi uliyo ijua.?
Huko nyuma nilikuwa najiuliza how come mtu analipwa kiasi kikubwa hivyo, kwa kweli ilikuwa haingii akilini mwangu, kwa hiyo maswali yalikuwa mengi sana, lakini toka nilipojua siri ya urembo kwanini wanalipwa hela nyingi namna hiyo nikaishia kuwaonea huruma tu.
 
Mkuu kuna hii kitu inaitwa Draft huwa siielewi kabisa mi huwa naona tu madogo wanachaguliwa kwenda timu husika lakini siju utaratibu unakuwa vipi. Naomba ufafanuzi tafadhali
Ikitokea Giannis akaenda Dallas itakuwa noma mzee, watatisha. Huku Luka, huku KP, huku Greek Freak!

Nachompendea Mark Cuban ni vile anawapenda wachezaji wake na timu kwa ujumla. I think ni one of the best owners.

Brooklyn wanaweza kusumbua kwa East, issue ni kama KD atarudi kwenye ubora maana injuries za namna ile zinakuwa ni mara chache kurudi kwa 100%. Hoping pia kwamba Kyrie hatasumbua kwenye Leadership.
 
Huko nyuma nilikuwa najiuliza how come mtu analipwa kiasi kikubwa hivyo, kwa kweli ilikuwa haingii akilini mwangu, kwa hiyo maswali yalikuwa mengi sana, lakini toka nilipojua siri ya urembo kwanini wanalipwa hela nyingi namna hiyo nikaishia kuwaonea huruma tu.
Tafasali usije ukatwambia mambo ya kuuza roho sijui freemason
Maana wabongo wengi ndo akili zenu hizi!
 
Kwa dakika anaingiza mshahara wa mlinzi kwa kwa saa anaingiza mshahara wa mbunge kwa siku anaingiza mafao ya mbunge kwa mwezi networth ya diamond plutnumz kwa mwaka bajet ya wizara nyeti kabisa

All in all nikiwa na 35000/= kwa wallet najisikia swaaafi kabisa
 
Kwann asije Blazers, Mbona wachezaji wazuri hawaendi Blazers nini shida mkuu?

Kuna factors 2 kubwa kwa mtazamo wangu mimi.

Moja, kuna kitu wanaita salary cap, ukivuka hiyo cap unaingia kwenye level utakayopigwa extra taxes (walifanya hivi ili kuwe na usawa kwenye ushindani). Jamaa tayari wana maximum salaried players, ambao ni CJ McCollum na Dame, hivyo kuongeza mchezaji mwingine mkali ambaye ni wa max salary watavuka hiyo cap. Hivyo kuingia kwenye gharama zaidi.

Mbili, kuna Market Factors; baadhi ya timu ziko maeneo wanaita Big Market na zingine ziko sehemu wanaita Small Market. Mara nyingi small market teams huwa ni ngumu sana ku-attract free agents, kwa hiyo, most of the times inabidi waendelee kuwatumia wale walio wadraft (hapa nazungumzia franchise players au maximum salaried players, star players).

Sasa Portland Trail Blazers ana angukia kwenye small market, na tayari yuko salary caped.

Kwa uchache teams ambazo ziko kwenye big markets ni Lakers, Clippers, NY Knicks, B-Nets, Miami Heats, GSW, I think Houston pia ni Big Market (Sina uhakika sana), Sixers, Boston C (probably), etc.

Unaweza ku-search google kujiridhisha zaidi, lakini hizo kwangu ndo factors kubwa.

Wachezaji na NBA wenyewe wana prefer big markets kwa sababu za kibiashara, endorsements, matangazo, ni rahisi kumtangaza mchezaji akiwa kwenye big market.
 
Unatakiwa uwe na hela kiasi tu......mahela yote hayo unakufa unayaacha.....wahuni wanakuja kutumbua.
 
Back
Top Bottom