Nafikiri hata yeye mwenyewe akimuangalia mchizi wake James Harden na ile contract ya Adidas ya $200m huwa inamuuma Sana na ukizingatia James Harden aliwahi kumwambia ana tamani sana angekuwa na Height Kama yake.
Kiukweli hao jamaa nyakati zile wana compete na King nilitokea kuwachukia Sana, maana walikuwa wanatisha haswa, Kuna series moja ya fainali nilikuwa naombea tu wasimpige King ufagio, maana wakati msimu unaanza tayari wao Wanapewa 43% ya kuchukua ubingwa wakati timu zingine hapo zimepewa 7%,2% mpaka 0.01%.GSWs imeshapotea, tutabaki tunaizungumza kwamba iliwahi kutisha na kuvunja records. It was real sweet to watch them competing with the King.
Both Curry and Klay are no longer who they used to be. Sioni yeyote kati yao akiwa na impact kama ya LBJ at their age.
Sasa hivi baada ya Lakers, nadhani tutashuhudia miamba mipya, the likes of Dallas, Phills, NOP, Bucks (if Giannis stays), Boston Celtics, Utah Jazz na Denver.
Asante halafu ilikuwa ni 3rd quarter pindi ambacho watu wamechoka vibaya.Correction: Ni 37 points mzee.
Kwa ufupi tu NBA draft ni kipindi kila timu inachagua wachezaji inaowataka kutoka kwenye leagues za chini mara nyingi huwa ni kutoka college na wachezaji hao lazima wawe na vigezo maalumu mfano lazima awe amesoma kwenye American college yoyote japo Kuna muda wanachukua mpaka waliosoma nje lakini lazima angalau awe amesoma hata mwaka mmoja marekani.Huyu ndugu yetu alijichanganya sana
Mkuu hii kitu inaitwa Draft huwa siielewi kabisa mi huwa naona tu madogo wanachaguliwa kwenda timu husika lakini siju utaratibu unakuwa vipi. Naomba ufafanuzi tafadhali inafanyika vipi hii kitu
Kwa ufupi tu NBA draft ni kipindi kila timu inachagua wachezaji inaowataka kutoka kwenye leagues za chini mara nyingi huwa ni kutoka college na wachezaji hao lazima wawe na vigezo maalumu mfano lazima awe amesoma kwenye American college yoyote japo Kuna muda wanachukua mpaka waliosoma nje lakini lazima angalau awe amesoma hata mwaka mmoja marekani.
Kiukweli hao jamaa nyakati zile wana compete na King nilitokea kuwachukia Sana, maana walikuwa wanatisha haswa, Kuna series moja ya fainali nilikuwa naombea tu wasimpige King ufagio, maana wakati msimu unaanza tayari wao Wanapewa 43% ya kuchukua ubingwa wakati timu zingine hapo zimepewa 7%,2% mpaka 0.01%.
Binafsi yangu nafikiri Lakers atapata upinzani zaidi EC, na hata ile nyimbo ya "weaker East" sasa itahamia upande wa pili, ila hii ni endapo kama Antetokounpo atabaki.
Nafikiri hata yeye mwenyewe akimuangalia mchizi wake James Harden na ile contract ya Adidas ya $200m huwa inamuuma Sana na ukizingatia James Harden aliwahi kumwambia ana tamani sana angekuwa na Height Kama yake.
Rondo hii ni ya pili.
GSWs imeshapotea, tutabaki tunaizungumza kwamba iliwahi kutisha na kuvunja records. It was real sweet to watch them competing with the King.
Both Curry and Klay are no longer who they used to be. Sioni yeyote kati yao akiwa na impact kama ya LBJ at their age.
Sasa hivi baada ya Lakers, nadhani tutashuhudia miamba mipya, the likes of Dallas, Phills, NOP, Bucks (if Giannis stays), Boston Celtics, Utah Jazz na Denver.
GSWs imeshapotea, tutabaki tunaizungumza kwamba iliwahi kutisha na kuvunja records. It was real sweet to watch them competing with the King.
Both Curry and Klay are no longer who they used to be. Sioni yeyote kati yao akiwa na impact kama ya LBJ at their age.
Sasa hivi baada ya Lakers, nadhani tutashuhudia miamba mipya, the likes of Dallas, Phills, NOP, Bucks (if Giannis stays), Boston Celtics, Utah Jazz na Denver.
Nuggets sijawafuatilia sana wana nani mkali ? Denver is not my team....
Kauli yetu hoe haeKikubwa uhai
Kwa Utah wamechana sana mikeka yangu lakini kwa LAC waliirudisha baada ya kujilazimisha kuwaaminiDenver kwenye playoff msimu huu wameiondoa Utah Jazz first round kwa kupindua meza 3 - 1, then wakaiondoa Clippers second round kwa kupindua 3 - 1 pia.
Wana Jamal Murray na Nicola Jokic, wametisha sana.
Ondoa kodi asilimia 50
bilioni 4 kila mwezi inalambwa na serikali
Don Clericuzio nakuona tu jf online umegoma kulala kama mimi
Huyu ndugu yetu alijichanganya sana
Mkuu hii kitu inaitwa Draft huwa siielewi kabisa mi huwa naona tu madogo wanachaguliwa kwenda timu husika lakini siju utaratibu unakuwa vipi. Naomba ufafanuzi tafadhali inafanyika vipi hii kitu
Huyu ndugu yetu alijichanganya sana
Mkuu hii kitu inaitwa Draft huwa siielewi kabisa mi huwa naona tu madogo wanachaguliwa kwenda timu husika lakini siju utaratibu unakuwa vipi. Naomba ufafanuzi tafadhali inafanyika vipi hii kitu
Hii timu yangu Blazers yenyewe kila kitu iko nyuma aisee, kwahiyo ata kuchagua hawa madogo haiwezi chagua wazuri.
Kwahiyo ndugu yetu Hashim na yeye alisoma huko Marekani?