Lecturer fataki mkubwa

mtanzania07071989

Senior Member
Joined
Aug 12, 2012
Posts
153
Reaction score
20
Jamani hapa Chuo kikuu cha RUCO Iringa kuna lecturer fataki,anatembea ovyo na mabinti,anawafelisha wanaomkataa,anachuki na wanadarasa,TUPO KWENYE MKAKATI WA KUMTOA.HATUMTAKI.
 
Kuna msichana ambae ni underage kati ya hao alio/anaotembea nao? Kuna mtu ana uhakika jibu aliloandika ni sahihi lakini akakoseshwa?
 
Huweki Jina hadharani usipost thread yako. Mambo ya Jina limehifadhiwa hatuyataki tena
 
Jamani hapa Chuo kikuu cha RUCO Iringa kuna lecturer fataki,anatembea ovyo na mabinti,anawafelisha wanaomkataa,anachuki na wanadarasa,TUPO KWENYE MKAKATI WA KUMTOA.HATUMTAKI.

dah hivi vyuo vya mchangani vinamatatizo mengi sana
 
Someni acheni kulalamika.

Sent from my BlackBerry 8900 using JamiiForums
 
Hapo shuleni si karibu na lile duka la silaha? Mbona hamummunisi?
 
Someni acheni kulalamika.

Sent from my BlackBerry 8900 using JamiiForums

Hujajua tatizo letu ANATUFELISHA,TUMELELI,TUMESUP NA TUMECARY WATU 72 KATI YA 100.ushahidi tunao.Akitufelisha tena Tunadisco,hatuendelei tena na chuo,TUONEENI HURUMA JAMANI.
 
Hujajua tatizo letu ANATUFELISHA,TUMELELI,TUMESUP NA TUMECARY WATU 72 KATI YA 100.ushahidi tunao.Akitufelisha tena Tunadisco,hatuendelei tena na chuo,TUONEENI HURUMA JAMANI.

Weka kila kitu,jina ,idara,somo kam picha ipo pia weka na.ushahidi.wa sms kwa kianzia
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…