Lecturer fataki mkubwa

Lecturer fataki mkubwa

Jamani hapa Chuo kikuu cha RUCO Iringa kuna lecturer fataki,anatembea ovyo na mabinti,anawafelisha wanaomkataa,anachuki na wanadarasa,TUPO KWENYE MKAKATI WA KUMTOA.HATUMTAKI.

mnashindwa kufaulu somo lake kwa sababu mnaendekeza ngono kisha unamgeuzia kibao kumdhalilisha? kwani hao wanawake ulionao darasani ni underage, mabikira?
 
Hujajua tatizo letu ANATUFELISHA,TUMELELI,TUMESUP NA TUMECARY WATU 72 KATI YA 100.ushahidi tunao.Akitufelisha tena Tunadisco,hatuendelei tena na chuo,TUONEENI HURUMA JAMANI.
hii technique ilishapitwa na wakati mkuu. Wanafunzi wengi wakifeli ndiyo huwa wanasingizia hilo. Kama kawafelisha kwa sababu ya kuwataka dada zenu basi kateni rufaa ili mitihani isahishwe tena. Msilete utoto huku. Wote tumepota huko vyuoni, hamuwezi kutudanganya kirahisi hivyo.
 
hii technique ilishapitwa na wakati mkuu. Wanafunzi wengi wakifeli ndiyo huwa wanasingizia hilo. Kama kawafelisha kwa sababu ya kuwataka dada zenu basi kateni rufaa ili mitihani isahishwe tena. Msilete utoto huku. Wote tumepota huko vyuoni, hamuwezi kutudanganya kirahisi hivyo.

Wewe nawe unafundisha wapi?

Sent from my BlackBerry 9220 using JamiiForums
 
watawala wanamtetea.

Watawala ni kina nani? Fanya hivi tutajie somo lakeisije wengi huko RUCO from kata school, hamkupata msingi mzuri, Lecturer anakata nyanga zimeenda shule mnatumbua mijicho hata hamuelewi then mnaleta hoja dhaifu.

wanafunzi 72 /100 ni asilimia kubwa sana., Je mkuu wa idara/kitivo hashangai? au uongozi wa wanafunzi haujaenda kuongea na mshauri wa wanafunzi? ofsi ya mrajisi n.k? hivi kwenye kundi hilo la 72 wavulana wangapi na wasichana wangapi? uwiano uko je, na uwiano wa kijinsia waliofaulu uko je pia?

Hebu tueleze kwa kufelisha huko idadi hiyo tajwa, anawataka woote hao? yeye anataka kila mvaa sketi? ukijibu yote haya nitakupatia njia rahisi ya kumtoa,

Kwa sasa soma, maana badala ya kusoma unataka atolewe ili carry hiyo ufaulu kirahisi, njia hiyo haina nafasi!! piga book acha uoga, wewe umefanya first sit, sup bado unaogopa?
SP
 
Aaargh sasa kutembea nao tu....kwani kuna tatizo kuongozana na mtu jamani??
 
Back
Top Bottom