Kiko wapi hcho chuo?
Jamani hapa Chuo kikuu cha RUCO Iringa kuna lecturer fataki,anatembea ovyo na mabinti,anawafelisha wanaomkataa,anachuki na wanadarasa,TUPO KWENYE MKAKATI WA KUMTOA.HATUMTAKI.
hii technique ilishapitwa na wakati mkuu. Wanafunzi wengi wakifeli ndiyo huwa wanasingizia hilo. Kama kawafelisha kwa sababu ya kuwataka dada zenu basi kateni rufaa ili mitihani isahishwe tena. Msilete utoto huku. Wote tumepota huko vyuoni, hamuwezi kutudanganya kirahisi hivyo.Hujajua tatizo letu ANATUFELISHA,TUMELELI,TUMESUP NA TUMECARY WATU 72 KATI YA 100.ushahidi tunao.Akitufelisha tena Tunadisco,hatuendelei tena na chuo,TUONEENI HURUMA JAMANI.
hii technique ilishapitwa na wakati mkuu. Wanafunzi wengi wakifeli ndiyo huwa wanasingizia hilo. Kama kawafelisha kwa sababu ya kuwataka dada zenu basi kateni rufaa ili mitihani isahishwe tena. Msilete utoto huku. Wote tumepota huko vyuoni, hamuwezi kutudanganya kirahisi hivyo.
wakimkataa wanatishiwa na kufelishwa wengi wamesup na kucarry,USHAHIDI WA SMS NA SAUTI UPO,LAZIMA TUMTOE.
- ​Kama ushahidi upo, Je nini kinawazuia msimchukulie hatua stahili?
watawala wanamtetea.
Acheni uoga. Ni vigumu sana mwanafunzi kufelishwa asiestahili kufelishwa!wakimkataa wanatishiwa na kufelishwa wengi wamesup na kucarry,USHAHIDI WA SMS NA SAUTI UPO,LAZIMA TUMTOE.
Hivi RUCO nacho chuo kikuu???????????????
Sikujua kama RUCO ni chuo Kikuu.