wapendwa,
ili uwe lecturer lazima uwe na PhD. mtu mwenye masters anaweza kupanda hadi assistant lecturer position tu, haendi zaidi ya hapo.
kuhusu GPA, mara nyingi ni standard za vyuo tu na hata mamlaka za udhibiti kama TCU na NACTE hutoa GPA elekezi tu. na in case of acute shortage, wanaweza kuajiri hata mtu wa GPA ya chini zaidi ya GPA elekezi. nafahamu kuwa UDSM wao wanataka 3.8, lakini vyuo vingi wanakubali 3.5.
kwa walioko vyuoni bado, nawaasa jutahidini sana kupata GPA nzuri zaidi kadiri inavyyowezekana. GPA nzuri inalipa sana. hata huku mtaani mambo si haba. mi nina ndoto nikishainyakua PhD ndiyo niangalie kazi vyuoni na consulting companies
ninayaweza mambo yote kwake YEYE anitiaye nguvu!
Glory to God!