Lee Min Ho kashika namba 1 tena kama msanii wa Kikorea anayependwa zaidi Kimataifa

McLaren

JF-Expert Member
Joined
Feb 19, 2025
Posts
1,170
Reaction score
3,743
Hivi huyu jamaa ana dawa gani? Sidhani kama kuna msanii wa Kikorea anapendwa kama huyu jamaa

Muigizaji Lee Min-ho ameshika namba 1 tena

Kwa mujibu wa matokeo ya ‘Utafiti wa Hallyu (Wimbi la Kikorea) wa Kimataifa wa Mwaka 2026’ yaliyotangazwa mnamo Machi 30 na Wizara ya Utamaduni, Michezo na Utalii kwa kushirikiana na Taasisi ya Korea ya Kubadilishana Utamaduni wa Kimataifa (KOFICE), Lee Min-ho ameshika nafasi ya kwanza tena kama muigizaji wa Kikorea anayependwa zaidi na mashabiki wa kimataifa Kikorea.

Utafiti huu ulishirikisha watu 27,400 kutoka maeneo 30 ya nje ya nchi ambao wamewahi kutumia maudhui ya kitamaduni ya Korea. Katika kipindi cha miaka 13 mfululizo tangu kuanzishwa kwa utafiti huu, Lee Min-ho amekuwa akishikilia nafasi ya kwanza bila kushuka.

lee min.png

Source: Chosun Daily
 
View attachment 3564937

Source: Chosun Daily
Wanawake ndo waliompa kuraaa.
 
Sijawahi kucheki series yake hata moja
 
Kama hajawahi kuigiza kwenye Korean historical drama yoyote ya Kifalme, basi nitakuwa simfahamu. Lakini pia nitakuwa simshabikii.
 
Sijawahi kumuelewa itakuwa ni imposters huko kwao yaani industry Ina mbeba
 
Back
Top Bottom