Leeds United: Nyota iliyozimika katika ulimwengu wa soka

Teko Modise

JF-Expert Member
Joined
May 20, 2017
Posts
2,331
Reaction score
7,733
Kutoka nusu fainali ya Uefa Champions League mwaka 2001, mpaka kushuka daraja mwaka 2003 na kupotea katika ramani ya soka la Uingereza, wale wapenzi wa soka wa kitambo, Unaikumbuka Leeds United hii?
may-2001-leeds-united-team-group-before-the-uefa-champions-league-picture-id949183
 
Unamaanisha nini unaposema wamepotea katika ramani ya soka la Uingereza ilhali wapo Championship tokea walipotoka EPL hadi sasa...

Na ligi ya Championship ni ngumu kuliko baadhi ya ligi nyingi tu kubwa barani Ulaya, kwa mtazamo wangu ni ngumu kuliko hata Ligue 1...
 
Walishawahi kushuka mpaka ligi ya chini.
 
Ndio chanzo cha kuanzisha financial fair play, timu kama Portsmouth au pomp na Leeds zilikopa mikopo kwenye banks mbalimbali lakini walishindwa kulipa kwa wakati, mwisho wakafilisika, maana uwekezaji na ununuzi Wa wachezaji ilikuwa mkubwa kuliko faida, Leeds ya Harry Kewell, mark viduka, Lukas radebe, Ferdinand na wengine wengi, kweli kila nabii na muda wake
 
Hivi ni Leeds ndo walifanyiana msala na Garatasalay? Au ni Chelsea!
 
Back
Top Bottom