Leeds United: Nyota iliyozimika katika ulimwengu wa soka

Leeds United: Nyota iliyozimika katika ulimwengu wa soka

Kutoka nusu fainali ya Uefa Champions League mwaka 2001, mpaka kushuka daraja mwaka 2003 na kupotea katika ramani ya soka la Uingereza, wale wapenzi wa soka wa kitambo, Unaikumbuka Leeds United hii?
may-2001-leeds-united-team-group-before-the-uefa-champions-league-picture-id949183
Unaacha kukumbuka tukuyu stars unatuletea hao leeds
 
Hii team ina tafunwa na dhambi ya ushoga mpk sasa kuna mchezaji shoga na kiongozi kwenye bodi ya utendaji nae ni marindaless
 
Ndio chanzo cha kuanzisha financial fair play, timu kama Portsmouth au pomp na Leeds zilikopa mikopo kwenye banks mbalimbali lakini walishindwa kulipa kwa wakati, mwisho wakafilisika, maana uwekezaji na ununuzi Wa wachezaji ilikuwa mkubwa kuliko faida, Leeds ya Harry Kewell, mark viduka, Lukas radebe, Ferdinand na wengine wengi, kweli kila nabii na muda wake
acha kabisaa banaa.pindi madrid ikiwa kwenye form waliponea chupu chupu hapo.acha warud niliwakubali mnoo!.
 
Waliosimama kuanzia kushoto ni Mark Viduka, Danny Mills "kipara", Rio Ferdinand aliyevaa kitambaa cha unahodha na bila kumsahau beki Iane Harte bora wa kupiga mipira iliyokufa katika EPL baada ya zama za Denis Irwin.

Waliochuchumaa kuna kijana mtukutu Alan Smith, kuna mbabe Lee Bowyer, Oliver Dacourt na wa mwisho ni Harry Kewell.

Hapo kikosini wanakosekana Majemedari kama Lucas Radebe, Robbie Keane na wengineo.

Uwanja wao wa " ELLAND ROAD " ulikuwa mgumu sana kwa sisi Man Utd.

cc Guasa Amboni
kwa huyu smirth walikua wakimwita hb wa leeds.vimwana vilikua vikimng'ang'ania mbaya.tatizo lake alikua na asira mno.
 
Namkumbuka Thony Yeboah, pia Lukas Radebe. Kuna game moja golkipa aliumia na benchi hakukuwa na kipa wa ziada kwa kuwa wote walikuwa injury, ikabidi mchezaji mmoja wa ndani achukue nafasi ya kipa. Simkumbuki maana ni muda sasa
Radebe ndio alicheza kama nyanda game hiyo huwezi amini nikivuta kumbukumbu pana mashabiki wengi wa timu nyingine walilia utadhani ni mashabiki wa leeds United jamaa walikuwa wagumu sana khasa wakiwa kwao. Mnafanya kumsahau mtu mmoja wa kuitwa Michael duberry kilikuwa kitasa cha nguvu roho mbaya mtu wa kazi.
 
Kutoka nusu fainali ya Uefa Champions League mwaka 2001, mpaka kushuka daraja mwaka 2003 na kupotea katika ramani ya soka la Uingereza, wale wapenzi wa soka wa kitambo, Unaikumbuka Leeds United hii?
may-2001-leeds-united-team-group-before-the-uefa-champions-league-picture-id949183
Mark Viduka,Dany Mills,Nigel Martyn,Rio Ferdinand,Ian Harte

Alan Smith,Lee Bowyer,Olivier Dacourt, Dominic Matteo, David Batty,Harry Kewell

Pia walikuwepo Lucas Radebe,Jonathan Woodgate,Robbie Keane,Erik Bakke
 
Back
Top Bottom