Teko Modise
JF-Expert Member
- May 20, 2017
- 2,331
- 7,733
Unamaanisha nini unaposema wamepotea katika ramani ya soka la Uingereza ilhali wapo Championship tokea walipotoka EPL hadi sasa...Kutoka nusu fainali ya Uefa Champions League mwaka 2001, mpaka kushuka daraja mwaka 2003 na kupotea katika ramani ya soka la Uingereza, wale wapenzi wa soka wa kitambo, Unaikumbuka Leeds United hii?
Unamaanisha nini unaposema wamepotea katika ramani ya soka la Uingereza ilhali wapo Championship tokea walipotoka EPL hadi sasa...
Na ligi ya Championship ni ngumu kuliko baadhi ya ligi nyingi tu kubwa barani Ulaya, kwa mtazamo wangu ni ngumu kuliko hata Ligue 1...
Huyu Jamaa ni kutoka Australia, nadhaniHarry Kewell
Likewise to Blackburn roversBolton Wanderers wameshindwa kurudi?
Watoto wa Reebok wamechoka sana, wapo daraja LA pili enzi hizo jay jay okocha, jaidi, youri djokuouf, juss janskilenn, Kevin Davis, Fernando hierro, Nolan,Bolton Wanderers wameshindwa kurudi?