Hawa jamaa huenda wakawa surprise package kwenye ligi next season kama alivyofanya shelfieldnyuma ya marcelo bielsa yupo mwanadamu anayeitwa Victor Orta , ndiye aliyetoa pendekezo kwa bosi kubwa Radrizzani juu ya usajili wa marcelo bielsa na pia ndiye aliyefunga safari hadi Buenos Aires kwa dhumuni moja tu la kumshawishi marcelo asaini kandarasi.
View attachment 1510251
Hawa jamaa huenda wakawa surprise package kwenye ligi next season kama alivyofanya shelfield
This season kuna team zitashuka daraja zenye wachezaji wazuri sana.Wanahitaji kufanya usajili wa kueleweka, kwa upande wa kocha hakuna shaka jamaa ni mzuri.
This season kuna team zitashuka daraja zenye wachezaji wazuri sana.
Hasa Watford na Bornemouth
Ligi ni ngumu sana aisee, nakumbuka Norwich alianza kwa mbwembwe na mzee wao Pukki, mpaka kuna muda walimfunga Man City 3 - 2.
Baadae wakaanza kupigwa pigwa balaa.
Ukiangalia squad ya Watford ilivyobalance huwezi kuamini kama wapo kwenye nafasi ya kushuka daraja o
Pearson alipaswa kutimuliwa muda mrefu tu huwezi kufungwa hovyo hovyo na kikosi kizuri namna ile.Hao washuke tu, maana walijifanya kutufunga 3 bila. Acha wale jeuri yao.
Wamemtimsha kocha tayari.
Nigel Pearson sacked as Watford face potential Premier League relegation
Pearson alipaswa kutimuliwa muda mrefu tu huwezi kufungwa hovyo hovyo na kikosi kizuri namna ile.
ila naona msimu huu kwenye champion wanajitutumua msimu ujao tunaweza kuwa nao pale EPL
Team yangu ya utotoni, hatimae tumerejea na makali yetu.Kutoka nusu fainali ya Uefa Champions League mwaka 2001, mpaka kushuka daraja mwaka 2003 na kupotea katika ramani ya soka la Uingereza, wale wapenzi wa soka wa kitambo, Unaikumbuka Leeds United hii?