Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
kwani nimebisha ?Mkuu kwani hayo ayasemayo THE BOSS kuhusu MZEE RUKSA ni ya uongo??
RUKSA ALIITOA HII NCHI KWENYE TONGOTONGO NA GIZA KALI..
Well said, Mzee muungwana sanaUrais haukumzuzua mwinyi,unavyomuona leo ndivyo alivyokuwa.
Ndo umeandika nini hapa we pungua.ni?Ngoja Tuanze na mazuri yako, maana hata wewe ukifa ndugu zako na watu mbali mbali watakumwagia sifa kedekede. Ngoja Tuanze na wewe then tuje kwa mimi pamoja na Mwinyi. Maana unaweza ukafa wewe au Mimi kabla ya Mwinyi..... Tuanze na wewe Mkuu.
Wakuu habar ya majukumu.
Kwanza nitangulize precaution kwamba simtabirii kifo Rais wa awamu ya pili Alhaj Ally Hassan Mwinyi.
Nimekuja hapa kutaka kujuzwa kuhusu Mwinyi kabla hajafa ili tumpe hongera zake akiwa hai. Kumekuwa na kasumba katika nchi yetu ya kumwagia sifa nyingi kiongozi mara tu anapofariki, wakati akiwa amekufa sifa zake humwagwa hata zile ambazo wengine hatukuwahi kuzijua, sijui kwa nini hali hii inasubiri mpaka afe.
Leo nimefikiria kuhusu Mzee Mwinyi simaanishi kumtabiria kifo lakini kwa mwanadamu yeyote anaeamini uwepo wa Mungu anaamini kuna siku atakufa. kwa kulitambua hilo mimi kama kijana ambae wakati Mzee mwinyi anaongoza (1985-1995) nilikua sijapevuka kuweza kupambanua mambo na kwa bahatu mbaya sana watanzania hatuna tabia ya kuweka kumbukumbu zetu kwenye maandishi imeniwea vigumu sana kufahamu uimara na udhaifu wa mzee Mwinyi wakati wa utawala wake.
Hivyo nimekuja humu kuwaomba wajuzi wa mambo ambao wao pengine walikuwa na ufahamu wa kutosha kipindi cha Mwinyi watujuze strength na weakness za utawala wake ili apatiwe haki yake akiwa hai tusisubiri Mzee amefariki tuanze kujaza nyuzi humu kila mtu akijifanya kunfahamu Mzee. Nimejifunza hili kwenye msiba wa Mzee Sitta tukiambiwa mambo mengi ambayo hata hatukuwahi kuyafahamu.
tabia hii tuache watanzania, leo nimeona nianze na hili tuambieni kuhusu Mzee Mwinyi.
Nawasilisha
Mkuu mimi nimeanza na huyu nafahamu wapo wengi hata wew unaweza ukaanzisha uzi kwa wengine maana wapo wengi, wapo akina malecela, warioba, salim.. wapo wengi mnombona wapo wengi ujahoji jombi !kama mwalimu, karume ,mkapa ,kikwete ,muheshimiwa magu ! au nao sio watu jombi ?
Mkuu nitahukumiwa kwa kutaka kujua historia ya nchi yangu na viongozi wangu.Tatizo la nchi hii hata mzee wetu akilala kesho kumaliza safari yake utatafutwa wewe ndio muhusika
Ila ni wazo zuri ,
Kwani si kuna wenye ndoto zao sasa hivi wapo jela auMkuu nitahukumiwa kwa kutaka kujua historia ya nchi yangu na viongozi wangu.
Mkuu nimeipenda hii, hivi mkuu ni kweli ilikua hivi?Aliwapenda sana watanzania.
Aliamini Maendeleo ya Watu kuliko Maendeleo ya Vitu.
Sikukuu ikiangukia Jumamosi au Jumapili inafidiwa Jumatatu.
yapo mengi ila haya yanabeba yooote yaliyobakia.Kuelewa mchango wa Mwinyi unapaswa kwanza kuelewa hali ya nchi ilivyokuwa wakati anakuwa Rais...
Nchi ilikuwa na Redio moja tu Redio Tanzania..na magazeti ya chama na serikali...
hakuna kabisa sehemu ya kukosoa wala kueleza matatizo...
na baada ya vita ya Iddi Amin kiuchumi nchi ndo ikayumba kabisa
Sera za Nyerere za ujamaa na kila kitu kufanywa na serikali kuanzia kuuza mikate
hadi nguo n kadhalika ilisha feli....
watu wanapanga foleni kununua sukari na sigara
mtu akienda Kenya mnamuagiza colgate na sabuni za lux...
hali ilikuwa mbaya except kwa wachache waliokuwa na nafasi...
Mwinyi akaapishwa mwaka 1985....by the time anaondoka 1995..
Ilikuwa nchi tofauti kabisa.......magazeti tele..TV na redio...tele
vyama vya upinzani.....hadi uchaguzi wa 1995 kulikuwa na mdahalo kwenye tv
hapo ndo Lipumba akaibukia CUF....
Vitongoji kama Sinza vikawa maarufu wakati wa Nyerere ni kulikuwa na mashamba tu ya mpunga..
magari ikawa ruksa unanunua bila kuomba kibali..
Sasa wapo wanaosema hakufanya lolote...
labda mabadiliko yangekuja tu bila yeye...
but wengi wanaosema hivyo hawakuwepo enzi hizo
Mkuu nimeipenda hii, hivi mkuu ni kweli ilikua hivi?
Pia enzi hizo za kulikuwa na maduka ya kaya.Kuelewa mchango wa Mwinyi unapaswa kwanza kuelewa hali ya nchi ilivyokuwa wakati anakuwa Rais...
Nchi ilikuwa na Redio moja tu Redio Tanzania..na magazeti ya chama na serikali...
hakuna kabisa sehemu ya kukosoa wala kueleza matatizo...
na baada ya vita ya Iddi Amin kiuchumi nchi ndo ikayumba kabisa
Sera za Nyerere za ujamaa na kila kitu kufanywa na serikali kuanzia kuuza mikate
hadi nguo n kadhalika ilisha feli....
watu wanapanga foleni kununua sukari na sigara
mtu akienda Kenya mnamuagiza colgate na sabuni za lux...
hali ilikuwa mbaya except kwa wachache waliokuwa na nafasi...
Mwinyi akaapishwa mwaka 1985....by the time anaondoka 1995..
Ilikuwa nchi tofauti kabisa.......magazeti tele..TV na redio...tele
vyama vya upinzani.....hadi uchaguzi wa 1995 kulikuwa na mdahalo kwenye tv
hapo ndo Lipumba akaibukia CUF....
Vitongoji kama Sinza vikawa maarufu wakati wa Nyerere ni kulikuwa na mashamba tu ya mpunga..
magari ikawa ruksa unanunua bila kuomba kibali..
Sasa wapo wanaosema hakufanya lolote...
labda mabadiliko yangekuja tu bila yeye...
but wengi wanaosema hivyo hawakuwepo enzi hizo
Mafundisho ya mwalimu gani?Alishika mafundisho ya Mwalimu vyema sana
Umeshataja majina, nenda upande wa pili mwenyewe halafu turudi kwenye mada.Nashukuru leo brother unamwaga Nondo zakutosha... tujiulize kwanini KAWAWA anapondwa na kwa nini MWINYI ANAPONDWA NAKIKWETE AMEPONDWA LAKINI WENGINE WANATUKUZWA KWA KUONEKANA NI WAZURI KIUTENDA..