Legacy ya Yusuph Makamba ni ipi haswa?

Legacy ya Yusuph Makamba ni ipi haswa?

Naomba kueleweshwa ni ipi legacy ya ndugu yusuph Makamba hapa Tanzania kwenye chama chake na serikalini kwa ujumla.
Kuwaombea nyuki waingie kwenye mzinga wake ili alambe asali! Kuwa mfariji na msuluhishi
 
ameshastaafu Mzee yuko zake Bumbuli, ni vyema tukawauliza Lumumba wanaomuita mjini mara kwa mara kwenye hafla na sherehe zao kuanzia awamu ya tano mpaka sasa awamu ya sita...
 
Ukiona anakariri aya za imani ambayo haiamini halafu anazinukuu zile aya za kitabu chako kwenye maneno ya comedy, halafu kamwe hatumii aya yoyote ya kitabu cha imani yake kufanyia comedy, utafurahia na kusema " du jamaa anajua sana kitabu chetu"
 
Wamemaliza mtoto wanaruka kwa baba. Wewe unayehoji unahata legacy kwenye ukoo wenu?
 
Back
Top Bottom