Legal documents na uchambuzi wa masuala ya kisheria hapa

Thread nzuri hii iko dormant baada ya Gragoon kupotea. Unaona nikiwambia kuwa mtu mmoja tu anaweza akawa NGAO ya kitu fulani say, Taifa, shule, etc. Thread ya sheria ni Dragoon! It is now dormant! Ona sasa Lisu hayupo, hakuna "outstanding" brain tena Tanzania in Tanzania politics!
 
Jaman wanasheria wa humu ndani naomba niwaulize swali?
Mm katika pita pita zangu kuna mtu alinizonga njian , hivyo kupelekea simu yangu kupotea.
Nilimshitaki kwa kwa kosa la kunipiga?

Nilimshitaki mahakama ya mwanzo lakin pamoja na huyo mtu kukili kunizonga ila mahakama hio ikaona hana hatia yeyote na kufuta kesi kwa sababu ushahid wa daktar katk pf3
Haojaonyesha kama nilipata maumivu makubwa!
Swali langu ne kweli huyo mtu hakjwa na kosa lolote ikizingatiwa mm nilipoteza mali??
Kiufupi ilinifanya mm nimdharau sana yule hakimu kwa uwezo wake
 
Samahani nilikuwaaa na swali



Explain the limitations on the powers of courts in dealing different cases.

Please anaye fahamu
 
Samahani Naomba mnisaidie


Limitations on the powers of courts in dealing different cases

Msaadaaa pleasea anayefahamu
 
Swali linataka UTAJE na UELEZEE types za courts jurisdictions. Mfano Pecuniary, Territorial, Exclusive, Original, Appellate, n.k (kuna kama 11 types of jurisdiction)
Samahani Naomba mnisaidie


Limitations on the powers of courts in dealing different cases

Msaadaaa pleasea anayefahamu


NOTISI TO STUDENTS:

[emoji666] LENGO LA UZI HUU NI KUSAIDIA MASUALA YA KISHERIA KATIKA LITIGATIONS (i.e lawsuits) SIO ACADEMICS (i.e assignments, home works ect) NO NO itakuwa sio kabsa. Masuala ya darasan komaa na vitabu Library mkuu. (It seems upo chuo kinaitwa OUT)
 
Kuna hii kesi ya hivi karibuni. Ni kesi ya Farijala S. Hussen imeamuliwa na mahakama ya rufani mwishoni mwa mwezi uliopita. Inatoa angalizo kuhusu Notice of appeal na Memorandum of Appeal, pia namna ya kudraft notice of appeal. karibuni
Naomba msaada mwenye kitabu cha issa shivj's provisions of rule of law tafadhali
 
Mkubwa nlkua nahitaji copyright ya ruling ya kesi ya lema CAT na
high court ile ya salma Maghimbi J.
 
any one with current decisions from court of appeal on Economic and Organized crime offences
especially on bail, consent of dpp, certificate of dpp , jurisdiction and money laundering
 
wasomi naomba msaada wa case law za insufficient reason for extension of time
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…