Legal documents na uchambuzi wa masuala ya kisheria hapa

Aiseee, hiu uzi noma sana but Dragoon is nowhere to be seen. Mwenye taarifa zake please atujuze maana hajaonekana humu tangu mwaka jana mwishoni.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
nadhani aliamua kujitoa JF! Uzi uekufa kabisa. Unaona kuwa katika "taifa" anaweza kuwepo mtu mmoja ambaye anafanya mambo yaende yanavyotakiwa. Sawa na kuondoka Lisu bungeni, unaona kuna pengo kubwa/ni uozo mtupu katika sheria bungeni!
 
Inawezekana labda ni mgonjwa!! who knows, bahati mbaya hatujuani humu, hata kama mtu akipatwa na tatizo inakuwa changamoto!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
nadhani aliamua kujitoa JF! Uzi uekufa kabisa. Unaona kuwa katika "taifa" anaweza kuwepo mtu mmoja ambaye anafanya mambo yaende yanavyotakiwa. Sawa na kuondoka Lisu bungeni, unaona kuna pengo kubwa/ni uozo mtupu katika sheria bungeni!
Hivyo ndivyo unavyoamini wewe,kwani kabla hajazaliwa lisu inamaana kulikuwa hakuna watunga sheria tangu ukoloni eti?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hivyo ndivyo unavyoamini wewe,kwani kabla hajazaliwa lisu inamaana kulikuwa hakuna watunga sheria tangu ukoloni eti?

Sent using Jamii Forums mobile app
Your perspective of issues is very myopic, it clearly depicts the level of training/understanding/analytical capacity of a person I am talking to! have a nice evening! Enjoy your JF!
 
Naombeni msaada. Kuna jamaa yangu kaambiwa apeleke Ofisi ya Umma hati ya kiapo cha kuzaliwa marehemu babu yake. Na Baba yake pia Ni marehemu. Hati hiyo inafananaje wadau?
 
Mkuu fufua huu uzi
 
Habari Wasomi
Naomba msaada wa soft copy case ya
James Buchard Rugemerila vs. Republic Court of Appeal No. 59/19/2017
 
Hello? Je kuna mtu anaweza kunisaidia softcopy ya Civil Procedure Decree cap 8 ya Zanzibar?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…