Mwita Mtu Mrefu
JF-Expert Member
- Sep 6, 2020
- 739
- 1,113
Mkuu kwema?Kama unataka Instruments za Public International Law, au International Humanitarian Law niPm. The man himself Dr. Chacha Bhoke Murungu ametu~equip sana vijana wake.
Hii sio Fanon kweli?Habari zenu wasomi, kwanza kabisa ninayofuraha kukutana na wanasheria wenzanngu katika hii forum, naendelea kujifunza mengi sana, pia shukran sana kwa wote wanaotuma matirio kwenye hii forum.
Kingine naomba mni add kwenye groups Kama za Whatsapp, n.k no 0658166176View attachment 1652258
Mkuu naomba unirushie case law ya Shiminimana versus republic tafadhali.Hii hapa Mkuu
DRAGOON ALIPOTEA KABIISAMkuu naomba unirushie case law ya Shiminimana versus republic tafadhali.
Nenda TanzLIIHabari Wasomi
Naomba msaada wa soft copy case ya
James Buchard Rugemerila vs. Republic Court of Appeal No. 59/19/2017
Nenda TanzLII
sorry nilichanganya na hii ambayo nadhani siyo.....Nmekosa Ndio maana nkaomba Council mwenye nayo anisaidie, Chief.
pole....Yeah hiyo ipo, nadhani labda njia ya personal followup za Court of Appeal staffs yaweza ni saidia kuipata kama hili file hali kuwa na sarakasi za politics deep down.
Naomba unitumie documents za civil na vitabu vyote hasa vya chipeta email yangu mickylevau@gmail.comTaratibu fupi na rahisi na kimripoti kwa mwajiri wake, ambaye ni mkurugenzi wa wilaya.
Pia waweza mshtaki kwa mwajiri mkuu - Katibu mkuu Utumishi.
Ukiwa wewe ni mwanasheria ni vizuri ukapeleka malalamiko kwa hakimu au jaji wa kesi husika, au kwa msajili wa mahakama ambako ndiko atashughulikiwa kitaaluma.
Naomba nitumie documents zote ulizo nazo kuanzia plaint memorandums mbali sale agreements law repots na vitabu vya chipeta soft email yangu hi mickylevau@gmail.comsorry nilichanganya na hii ambayo nadhani siyo.....View attachment 1693179
Hii apa mkuuWakuu naomba template ya Memorandum na articles of association kama ipo, khasante kwa jukwaa zuri lenye manufaa.
Khasante sana mkuuHii apa mkuu