Legend atabaki kuwa legend

GoPPiii.

JF-Expert Member
Joined
Oct 6, 2014
Posts
1,792
Reaction score
3,075
Hii ipo na ni fact kuwa aliyekutangulia na akawa legend,hata iweje hauwezi kubadilisha ili uonekane ww ndo legend kwa kigezo cha mafanikio.

Mfano,Maradona, ronaldo de lima, Gaucho n.k hawa ni ma legend kwenye soka awe Messi awe Ronaldo Christiano hawez badilisha hlo kwa kutumia mafanikio yao.

Twende sasa,Bwana diamond a.k.a Chibu hata awe na mafanikio kiasi gani hawezi fanya kuwa Kiba a.k.a mr.yoooooo awe chini yake. Mafanikio aliyonayo leo ni baada ya walimtangulia kuutambulisha mziki Bongo tena walisota.

Ni kweli ana mafanikio tena sana,kimuziki na kipesa lkn akumbuke yeye ni sawa na Messi au CR7 hawez fanya tuwasahau akina Kiba na wengine kama vile Messi na CR7 hawatufanyi tuwasahau akina Maradona na wengine.

Sijajua haswa lengo lake nn la kuanzisha hili songombingo la ss hvi mtandaoni kwa wimbo wa Fresh remix. Ila atambue Legend ni Legend.

Wanasema ukitaka kumuua mpinzani wako,be good to them,be kind to them. Nadhan hili linamuua Mond sabb wapinzani wake wako friendly kwake hvo wanamuua kisaikolojia.
Aliposikia anakuja na wimbo mpya ameanzidha ugomvi ili Kiba asisikike usikike ugomvi aliouanzisha.

Mwisho legend ni legend tu.


Philips X2560
 
Kwa hiyo legend nani hapo...?

Nafahamu malegend wa mziki hapa bongo labda akina Jay D, TID, FA & AY, Bi kidude, Jay, Sugu
na King KiKi
Kama ulegend ndio hivi basi acha tuu mama za watu waliwe.
 
Ali Kiba kawa legend lini? Acheni kumpanikisha Kiba jamani.
 
Kwa hiyo legend nani hapo...?

Nafahamu malegend wa mziki hapa bongo labda akina Jay D, TID, FA & AY, Bi kidude, Jay, Sugu
na King KiKi
Kama ulegend ndio hivi basi acha tuu mama za watu waliwe.
Hata mi nimepigwa butwaa hapa eti kiba ni legend,duuuuuhh NGOMA IMEBUMA KWA UJINGA WAO WANATAKA KUHAMISHIA LAWAMA NYUMBA YA JIRANI
 
NGOMA HAIJAMALIZA HATA MASAA MAWILI IPO HOI,SI BORA ANGETULETEA ILE msiniseme remix yake watu tukakumbukia yule kiba wa ukweli kuliko huyu wa sasa wa kiki na kutegemea huruma plus haters wa Mondi
 
Tunaofuatilia mziki tunatambua kua kiba ni Legend ana miaka zaidi ya kumi kwenye gemu na anasumbua ile mbaya, na hiki kibao chake kipya alichotoa ni cha moto ile mbaya....mtaelewa baade.
 
Tunaofuatilia mziki tunatambua kua kiba ni Legend ana miaka zaidi ya kumi kwenye gemu na anasumbua ile mbaya, na hiki kibao chake kipya alichotoa ni cha moto ile mbaya....mtaelewa baade.
Kweli wataelewa badae. Ndo uzuri wa mziki mzuri haupaparuki kama popcorn kisha ukapoa unaingia taratiiiibuuu kama#AJE
 
Katoa bonge la boko dah kibakuli hoi

"ukijijua mchochezi...andaa mkojo"
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…