GoPPiii.
JF-Expert Member
- Oct 6, 2014
- 1,792
- 3,075
Hii ipo na ni fact kuwa aliyekutangulia na akawa legend,hata iweje hauwezi kubadilisha ili uonekane ww ndo legend kwa kigezo cha mafanikio.
Mfano,Maradona, ronaldo de lima, Gaucho n.k hawa ni ma legend kwenye soka awe Messi awe Ronaldo Christiano hawez badilisha hlo kwa kutumia mafanikio yao.
Twende sasa,Bwana diamond a.k.a Chibu hata awe na mafanikio kiasi gani hawezi fanya kuwa Kiba a.k.a mr.yoooooo awe chini yake. Mafanikio aliyonayo leo ni baada ya walimtangulia kuutambulisha mziki Bongo tena walisota.
Ni kweli ana mafanikio tena sana,kimuziki na kipesa lkn akumbuke yeye ni sawa na Messi au CR7 hawez fanya tuwasahau akina Kiba na wengine kama vile Messi na CR7 hawatufanyi tuwasahau akina Maradona na wengine.
Sijajua haswa lengo lake nn la kuanzisha hili songombingo la ss hvi mtandaoni kwa wimbo wa Fresh remix. Ila atambue Legend ni Legend.
Wanasema ukitaka kumuua mpinzani wako,be good to them,be kind to them. Nadhan hili linamuua Mond sabb wapinzani wake wako friendly kwake hvo wanamuua kisaikolojia.
Aliposikia anakuja na wimbo mpya ameanzidha ugomvi ili Kiba asisikike usikike ugomvi aliouanzisha.
Mwisho legend ni legend tu.
Philips X2560