Legend AY: Tunaomba uwakutanishe Ali Kiba na Diamond ili kuokoa ugomvi wa mashabiki

Kinachoonekana ni kwamba wengi hamjaelewa kuwa Alikiba hana ugomvi na Nassib, na hata wanapokutana wanazungumza kama kawaida. Ila Alikiba ana ugomvi wa muda mrefu na kundi la wauza sembe, ambao kama mnakumbuka walitaka kumuua walipomchomekea wakati anatoka Mbeya na gari lake kupoteza mwelekeo.

Kwa uwezo wa Mungu alitoka salama, ila dancers wake wawili waliumia na kulazwa. Kuna rafu nyingi alichezewa na genge hilo ambalo kwa sasa limejipachika kwa Nassib.

Na hao ndio sababu ya Alikiba kuamua kuachana na masuala ya muziki na kujikita kwenye biashara zake. Na hata hivi juzi juzi tu hapa mliona walimfuata anakoishi hadi akaamua kuhama, na juzi kazi walivamia Kariakoo usiku hawakumkuta.

Wasichokijua Alikiba anaishi Upanga jirani na Makao Makuu ya JWTZ, lakini hukutana na wageni wake wote Kariakoo kwa familia yake. Kwa hiyo kudhani kuwa Alikiba na Nassib wanahitaji kupatanishwa ni kufikiria vibaya. Na siku moja nikiongeza ujasiri wangu nitawataja hao watu wa genge hilo hata wawili watatu ili mpate kuelewa zaidi.

Pia nitaeleza aliyefanikiwa kumshawishi Alikiba arudi kwenye muziki, na alimshawishi baada ya kutokea kitu gani? Wengi walishindwa kumshawishi arudi kwenye muziki. Hilo genge liliwahi kuwa na wasanii kama Mr Nice, Ray C, TID na wakati fulani walikuwa na Chid Benz.

Ila sasa wako pia na Shetta, Linah na hivi majuzi nimesikia wameanza kumsogeza karibu Belle 9.

Ova

Na Mimi nilitaka kushangaa, inakuwaje mtu anatoa singo moja tu anakuwa milionea wa kutisha wakati fleva hailipi kihivyo sote tunajuwa hili.
 
Hakufanya nao biashara yoyote, ila walitaka wafanye naye lakini aliwakatalia. Na kwa bahati mbaya hakuwajibiana vizuri na kumwekea visasi.
Kwa historia ya mkasa wake amekuwa hawaamini hao askari, kwa maana nyingine hategemei kama wanaweza kumpa msaada wa maana.
Nikwambie tu, mmoja wa walio kwenye hilo genge amekijenga kituo cha polisi kwa pesa zake.

Ova
tz haijafikia hali ya kuwa kuna genge linalojificha ktk dola liwatishe raia alafu kusiwe na hatua yoyote otherwise unambie rais ndo anaratibu hilo kundi.so far Ali raia wa kawaida na kama kuna issue ya kumdhuru wangekuwa weshamdhuru.zaidi ya hapo mkuu dizain unatulisha tango pori.
 
Story za Vijiwe vya kahawa, Kiba alisimama Muziki kwa kulewa sifa baada Tu ya colabo na R Kelly akaona amemaliza, sasa anatumia nguvu nyingi kurudi, wakati alitakiwa awe mbali na Diamond angekua anaomba ushauri kwake sasa! Alilewa sifa mwenyewe then akaanza kutafuta sababu kwa issue za Unga!
Kuna ile kesi ya Lulu inayomuhusisha na Mauaji ya Kanumba, Alli Kiba alitumika kumsafirisha Lulu kutoka kwenye lile tukio la mauaji labda hili lilimletea kausumbufu kisaikolojia. Alihojiwa na Polisi ila sijui iliishia alisalimika vipi. Najaribu kuwaza tu sababu za kupotea kwake kwenye Game kwa kipindi kirefu bila sababu ya msingi.
 
Mkuu Diamond kabadirisha Mawazo ya Wasanii wengi ambayo mwanzo hawakua nayo, wasanii wa mwanzo hawakua na malengo ya kutoboa nje...Nakumbuka siku moja namsikiliza DJ JD kwenye the Cruise enzi hizo, FA anaulizwa kwa nini asifanye Kolabo na wasanii wa nje Kama A.Y anavyofanya? Alijibu hivi.................
"Mimi Ni Rapper bora kwa sasa Tanzania, siwezi kuhangaika nitoke hapa kutafuta kolabo nje, ila wasanii wa nje wanatakiwa waje Tanzania kufanya kolabo na Mimi coz Mimi Ni bora" sasa Ni zaidi ya miaka 10 imepita, unaweza kuona utofauti wa A.Y na FA kimziki hata kiuchumi! Mawazo ya FA yalikua sawa na Mawazo ya Kiba na Wasanii wengi wa kipindi kile! Tatizo hili lipo mpaka kwenye Bongo movie! Hata mpira kipindi hicho.
 
nakubaliana na wewe hata katika interview mojawapo Mwana FA alisema alimshauri Ay wafanye video ya cheza bila kukunja goti pale ogopa Kenya lakini Ay akakataa na kuipeleka south akiwa na malengo ya kimataifa zaidu
 
tz haijafikia hali ya kuwa kuna genge linalojificha ktk dola liwatishe raia alafu kusiwe na hatua yoyote otherwise unambie rais ndo anaratibu hilo kundi.so far Ali raia wa kawaida na kama kuna issue ya kumdhuru wangekuwa weshamdhuru.zaidi ya hapo mkuu dizain unatulisha tango pori.

Tanzania ni zaidi ya uijuavyo ndugu yangu. Pengine tumetofautiana ujuaji wa mambo kulingana na vyanzo vyetu vya taarifa za kiusalama.
Lakini usikae kudhani kila unalohisi haliwezekani ikawa ndio kweli haliwezekani.
Hebu jaribu kufuatilia hata kwa ku-google tu vifo vya Erasto Msuya, Joseph Mahole na Betty Ndejembi, nadhani unaweza kupata nafasi ya kuielewa Tanzania.
Au fuatilia kesi ya Zombe na wenzake ya mauaji ya wale wafanyabiashara, na itatosha ukijua kama shahidi muhimu wa kesi hiyo alifariki akiwa gerezani.

Usitake niamini kama kuna genge la kijasusi limemuwinda kiba kwa muda mrefu likamkosa, hao labda ni panya road na sio mafia! Kazi rahisi kabisa hiyo ambayo nikipewa mie naifanya ndani ya Masaa 24 nitakuwa nimekabidhi matokeo mazuri kabisa kwa Boss wangu. Mkuu acha chai, ila story yako inavutia sana.
 
Tanzania ni zaidi ya uijuavyo ndugu yangu. Pengine tumetofautiana ujuaji wa mambo kulingana na vyanzo vyetu vya taarifa za kiusalama.
Lakini usikae kudhani kila unalohisi haliwezekani ikawa ndio kweli haliwezekani.
Hebu jaribu kufuatilia hata kwa ku-google tu vifo vya Erasto Msuya, Joseph Mahole na Betty Ndejembi, nadhani unaweza kupata nafasi ya kuielewa Tanzania.
Au fuatilia kesi ya Zombe na wenzake ya mauaji ya wale wafanyabiashara, na itatosha ukijua kama shahidi muhimu wa kesi hiyo alifariki akiwa gerezani.

Ova
Yule shaidi kwenye kesi ya zombe alianguka makamani ndiyo ikawa mwisho wake
 
tz haijafikia hali ya kuwa kuna genge linalojificha ktk dola liwatishe raia alafu kusiwe na hatua yoyote otherwise unambie rais ndo anaratibu hilo kundi.so far Ali raia wa kawaida na kama kuna issue ya kumdhuru wangekuwa weshamdhuru.zaidi ya hapo mkuu dizain unatulisha tango pori.
Magenge apa tz mbona kitambo nakumbuka kuna genge lilokuwa linajiita watoto wa jabiri mambo walikuwa wanafanya yalikuwa ni hatari wanateka wanauwa na serikali wala polisi walikuwa kimya
 
AY fanya yako baba! Achana na hawa TIMU fulaniz. You have your own style to stay on top of the game. Achana na wanaotegemea "skendo/kiki"
 
Back
Top Bottom