Legendary FC Barcelona vs Tanzania 11

Legendary FC Barcelona vs Tanzania 11

Afande Nyati

JF-Expert Member
Joined
Nov 10, 2012
Posts
2,385
Reaction score
1,414
Ivi wakuu hii mechi leo ipo kweli maana sisikii shamra shamra zozote kama ilivyokuwa kwa R. Madrid legends. Na kama ipo ni saa ngapi.
 
R.Madrid ni level nyingine.Tatizo barca imeanza kutamba ulaya ni ya akina gaucho ndio maana hawa wengine wanaokuja hawajulikani sana
 
Watu wametusha na viingilio, nadhani waandaaji wamechindws kusoma alama za nyakati kwa kuweka viingilio vikubwa.
 
Tatizo Barcelona ni club ndogo kama ilivyo Swansea huwezi kuwafananisha na Club Royal De Ciudad Madrid.
 
Back
Top Bottom