Hivi hommie Asprin, ulifikaga? Ulionaga nini huko? uliletaga taarifa kweli hapa?
kwa machungu, nimemkumbuka Babu wa loliondo!
Hahahaha hommie naona umeenda kupasha kiporo moto.....
Umenikumbusha mbaaaali sana......
Sikufika kwa babu hommie,
Nlipona kwa jina la Konyagi.
Enzi za
Nipigieeee....... mpenzi nipigieeee
Ntakupigia haaani
CC: Zion Daughter
Nguli,Balantanda, Nyani Ngabu, Abdulhalim, Kiranga, Pape aka...,Bht, Carmel, Ziondaughter,Binti Maringo,Pearl, Nyamayao,Mtazamaji,Yegomasika,Asprin,Kaizer,Mwanakijiji.....na wengine wengi.
Enzi zenu jukwaa lilikuwa linachangamka sana, au ni nini kimewauzi wakuu?
Hao hapo kwenye red huwa wapo lakini sio active kama zamani.
Tumewamiss jamani
Halafu hommie unaweza kunambie, japo kwa ufupi kipenzi chang cheusimangala ako huku au inakuwaje?
kwa uchungu, ntaomboleza wiki moja kwa ajili ya kutokuwepo kwake hapa jamvini
Mara ya mwisho naona ndo alikuwa anamtafuta Nyani Ngabu kwa nguvu zote aisee
BTW binti sayuni, Zion Daughter ameenda kuupanda Mlima Sayuni?
Asprin & Kaizer Mimi miss you saaaaaaaaaaaaaaana. wapi mdada bht ? dropingcoco umenikumbusha mbali.Hahahaha hommie naona umeenda kupasha kiporo moto.....
Umenikumbusha mbaaaali sana......
Sikufika kwa babu hommie,
Nlipona kwa jina la Konyagi.
Enzi za
Nipigieeee....... mpenzi nipigieeee
Ntakupigia haaani
CC: Zion Daughter
Mtoto halali na hela kweli enzi hizo...habaru ya HIMODuh kumbe ni longtime
Mtoto halali na hela kweli enzi hizo...habaru ya HIMO
Himo kwema mkuu, ila inasikitisha kuona ajali za weekend zinakua nyingi. Nipo njiani kutokea Arusha katikati ya Bomang'ombe na Sadala kuna ajali ya gari 4 na pikipiki.