Leicester Chama Kubwa

Leicester Chama Kubwa

OllaChuga Oc

JF-Expert Member
Joined
Jul 4, 2016
Posts
21,569
Reaction score
24,812
Kuanzia leo tarehe 20 natangaza mimi ni shabiki wa Leicester City.

Endapo Lampard ataendelea kuwa kocha wa Chelsea basi mimi nitatua rasmi Leicester.

HUYU TAKATAKA LAMPARD AFUKUZWE HARAKA SANA.

Nipeni mbinu za uhamiaji..kuhamia timu mpya wakuu..

Leicester 2-0 Chelsea.[emoji25][emoji25][emoji25]

#LCF[emoji170][emoji170][emoji170]
 
Wenzako wa Aseno wamejikaza siku zote hizo we kupapaswa kidogo tu unalia lia.
 
Lampard mitano tena mpaka huyu chalii wa chuga anakimbia timu hahaha
 
Lampard mitano tena mpaka huyu chalii wa chuga anakimbia timu hahaha
Hahaha jana Burnley kafanya nibadili maamuzi ..hapa nawaza nibaki Chelsea au niendele kutafuta furusa huko Leicester.

Hahaha huu msimu liverpool mtajua kuwa hamjui...[emoji23][emoji23][emoji23]
 
Back
Top Bottom