kweli kabisa yaan ni zaidi ya bahati ya mtendeHawa jamaa pamoja na mambo mengine ni bahati imewaangukia pia
kweli kabisa yaan ni zaidi ya bahati ya mtende
Sent from my HUAWEI Y530-U00 using JamiiForums mobile app
Sana mnake wanashinda shinda kwa zari
Wakichukua Old Traford itapendeza
but game yao na Everton home tayari sold out....
Hivi mbele pia kuna kuuza mechi mkuu?
Na kweli mkuu, kama ktk kipindi hiki cha Man.u,Man city & Chelsea, Arsenal hakuweza basi hawezi tena.Safi sana Claudio Ranier ( kocha wa Leicester city) kwa kutumia fulsa vizuri.nadhani arsensl na spurs hawatakaa wachukue ubingwa milele kama tu wameshindwa kuchukua kipindi hiki ambacho wakina man u na chelsea wako vibaya
Pamoja ni kwamba ni shabiki wa MAN U ila natamani leicester wachukue ubingwa. Dah jumapili ni siku ngumu kweli kwangu.
Hivi mbele pia kuna kuuza mechi mkuu?
Bahati gani? Msimu mzima wamefungwa mechi tatu, yani mechi 35 mpaka sasa wamepoteza tatu. Hakuna bahati hapo. Wanastahili.Hawa jamaa pamoja na mambo mengine ni bahati imewaangukia pia
Bahati gani? Msimu mzima wamefungwa mechi tatu, yani mechi 35 mpaka sasa wamepoteza tatu. Hakuna bahati hapo. Wanastahili.
Nimewafuatilia, mara nyingi possession yao haizidi 40%. Lakini ni kila game wako hivyo, huwezi kubahatisha kwa mechi 38 mkuu. Unaweza kubahatisha ligi za mtoano kama ECL kwasababu kuna game zisizozidi kumi na tano unakuwa mpaka unakuwa bingwa.Ushafatilia hawa jamaa wakicheza? Yani mpira wanachezaga wengine lakini wanashinda wao kama sio bahati tusemeje? Basi ni uchawi!