Leicester City: Mechi tatu, 'points' tatu

Leicester City: Mechi tatu, 'points' tatu

Leicester wanachukulia ubingwa wakiwa majumbani kwao, Man Utd watawapiga OT afu jumatatu Totenham watapigwa na Chelsea hivyo leicester watakua mabingwa tayari.
 
Pamoja ni kwamba ni shabiki wa MAN U ila natamani leicester wachukue ubingwa. Dah jumapili ni siku ngumu kweli kwangu.
 
Kwa sbb gemu ya Everton au chealsea lazima mojawapo ashinde. Mwaka wa Ranier huu
 
nadhani arsensl na spurs hawatakaa wachukue ubingwa milele kama tu wameshindwa kuchukua kipindi hiki ambacho wakina man u na chelsea wako vibaya
 
nadhani arsensl na spurs hawatakaa wachukue ubingwa milele kama tu wameshindwa kuchukua kipindi hiki ambacho wakina man u na chelsea wako vibaya
Na kweli mkuu, kama ktk kipindi hiki cha Man.u,Man city & Chelsea, Arsenal hakuweza basi hawezi tena.Safi sana Claudio Ranier ( kocha wa Leicester city) kwa kutumia fulsa vizuri.
 
Pamoja ni kwamba ni shabiki wa MAN U ila natamani leicester wachukue ubingwa. Dah jumapili ni siku ngumu kweli kwangu.

Usiwe na wasi. Nakuhakikishia Leicester watapingwa OT Jumapili....!
 
Bahati gani? Msimu mzima wamefungwa mechi tatu, yani mechi 35 mpaka sasa wamepoteza tatu. Hakuna bahati hapo. Wanastahili.

Ushafatilia hawa jamaa wakicheza? Yani mpira wanachezaga wengine lakini wanashinda wao kama sio bahati tusemeje? Basi ni uchawi!
 
Ushafatilia hawa jamaa wakicheza? Yani mpira wanachezaga wengine lakini wanashinda wao kama sio bahati tusemeje? Basi ni uchawi!
Nimewafuatilia, mara nyingi possession yao haizidi 40%. Lakini ni kila game wako hivyo, huwezi kubahatisha kwa mechi 38 mkuu. Unaweza kubahatisha ligi za mtoano kama ECL kwasababu kuna game zisizozidi kumi na tano unakuwa mpaka unakuwa bingwa.
 
Back
Top Bottom