Leicester City, Special Thread

Sijui kasi yao itapungua lini ?yaani wanafanya yale yale ya Blackburn rovers 95 wakanyanyua kwapa ila laana yake ndio hiyo sijui watarudi lini.
Jidanganye ukisubiria pumzi ya vijana ikate....
 
Sioni haya kusema mimi ni Man U damu ila Nina Michepuko km miwili mitatu ya kunipoza pindi nyumba kuu ikinizingua.....
Huwa unachepukia wapi, ninong'oneze mibadala yako, usikute upo kwa vijana wangu leicester city
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…