Leicester City, Special Thread

Leicester City, Special Thread

Binafsi imeanza kuwaogopa wamemtoa kamasi mancity jana, wanaonekana hawana masihara na ndooo
 
Big 4 zote mbovu msimu huu....kimzahamzaha Leicester atabeba ndoo na km akishinwa basi TOP 4 lazima awepo
 
Hadi kufikia hatua hii ya EPL, composition ya fans wa Leicester City wa hapa Tanzania ni kama ifuatavyo:

1. Supporters wa Chelsea wapo zaidi ya 95%
2. Supporters kutoka timu nyingine hawazidi 5%
3. Supporters asilia wa Leicester ni 0%

Tunakoelekea inawezekana hizo % za Chelsea zikahamia ManU!!
hapana , the foxes ni timu inayojulikana na kupendwa na wengi , hata uwanja wao wa king power uwa tunaenda
 
Team yoyoye ikiweza kusoma fomeshein wa timu nyengine ni rahisi kuifunga pia yule kocha musisahau mfumo anaotumia ni mfumo wa kwao.mfumo wa itali ni anza nyuma usikae na mpira sana.piga mbele tafuta goli sasa kuiangalia hilo utaliona ndio linalofanywa na LC.
kaka foxes wanapiga counter attack za maana, ranieri ni mwenyeji wa epl alikuwa kocha wa Chelsea kabla ya mourinho
 
Watani zetu Man U.man city.Chelsea.liverpool. Jumapili msikae mbali mje mshuhudie mbweha wanavyouawa na mizinga ya arsenal sisi ndio dawa ya hawa madogo.
 
Watani zetu Man U.man city.Chelsea.liverpool. Jumapili msikae mbali mje mshuhudie mbweha wanavyouawa na mizinga ya arsenal sisi ndio dawa ya hawa madogo.
Weeeh acha kabisa! Wale mbwa kwa sasa ni moto mkali. Game spirit ipo zaidi ya 100%. Naapa mbuzi aning'ate hii game hamtoki. Mkipata sana mtaambulia sare.

J2 c mbali
 
CHAMA LANGU LEICESTER CITY, BRAVO RIYAD MAHREZ, JAMMY VARDY! THE TROPHY IS KNOCKING ON OUR DOOR! VIVA LEICESTER!
 
Heeeee Heeeee jf Kuna vituko eti lc thread muwe wazi humu ni mashabiki wa Chelsea man u mnapunguza maumivu
Eti mtu anakuja na mbwembwe kabisa ktk uzi huu na misemo kama, CHAMA LANGU LEICESTER CITY .....!
Dah, vipigo vibaya sana, watu wamekacha timu zao na kujifanya leicester, bravo leicester though kwa kuleta changamoto, nawakubali ila mi ni arsenal damu na nafurahi wechukua point kwa wapinzani wetu ila sisi arsenal tunachukua 6 zote kwa leicester, tulishachukua tatu pale King Power, leo tunachinja tena alafu baada ya hapo wanaendelea kutoa dozi kwa direct opponents wetu!
 
Back
Top Bottom